Gachuma jr
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 839
- 451
Hahabritanicca umemsahau instanbul mpe usemaji ofisi ya katibu tawala mkoa wa kagera[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata usipolipwa fresh tuNaomba kufanya kazi ofisin kwa Makamu wa Rais Mh. shunie
Nikiwa secretary wake itanifaa zaidi.
Huu nao ni udikteta kutuchagulia viongozi kibabe bila kupiga kura.
Napinga hili, rasmi nitakuwa muasi.