Serikali Kuu ya JamiiForums

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ah hiyo 'sirikali' yenyewe nina mashaka nayo bhana
Wenzako mapungufu ya utawala husika huwa wanayazungumza kwa wenza wao tu tena faragha ule muda wa mapumziko ambao akili bado zinakuwa hazijarudi vizuri, sasa we unavyoanza kuonesha kuwa na wasiwasi na mamlaka iliyokuteua nakutabiria hutokuww na maisha marefu na utawala, pia sintoshangaa ukisindikizwa na kesi ya kuhujumu uchumi.
 
Wale wananchi ambao hatupigi kura huwa tunashinda vilabuni kwenye draft ,pooltable ,kwenye vibarua vyetu ,kwenye shughuli zetu ,mizunguko ya hapa na pale tujuane hapa


Ombi kwa mh waziri wa ujenzi aiboreshe barabara ya kuelekea jukwaa la MMU
Nipo hapa ninayeshinda kwenye vilabu .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisa
 
Hakuna cheo cha waziri wa ulinzi na usalama wa taifa labda kwenye serikal yako ndo utakianzisha wewe

Kisa tu kapewa / katajwa GENTAMYCINE. Waswahili bhana! Yaani Mleta Uzi kwa Utashi wake tu kaamua kuja na hiki Kitu lakini cha Kushangaza kuna Watu wengine Roho zinawauma kuona hawajatajwa popote au wamechukia kuwaona Watu ambao wanawachukia wametajwa. Jamani wengine tuna Nyota / Shani zetu na hadi unajulikana kuwa ni ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' jua ya kwamba britanicca hakukosea na alituliza hasa Akili zake. Na ukiona hutajwitajwi au hukumbukwi hukumbukwi JamiiForums jua bado hujawa na Umuhimu na Mvuto kwa ' Members ' wengi, hivyo nawe yakupasa ujibiidishe katika Ujengaji wako wa Hoja, Uwasilishaji wako na Michango yako mbalimbali iwe ni yenye Tija na Mvuto na siyo ya ' hovyo hovyo ' tupu.

Asante britanicca na natoa pongezi zangu nyingi na kubwa kwa Jeshi zima la Serikali ( Utawala ) lililotajwa hapa kwani ni zuri na limejaa Watu makini na ambao huwezi Kupinga uwepo wao na hata Uchangiaji wao wa Mada mbalibali hapa Jamvini hauna Mashaka na wala hawana ' Upopoma ' wowote ule. Ila na Wewe britanicca Siku zingine uwe unatusahau na usiwe unatutajataja bhana kwani unawaudhi Watu hapa. Naomba kama baadae itakupendeza basi uunde Serikali Kivuli na huyu wa stendi umpe Cheo cha Rais ili ' Presha ' yake ishuke na Yeye pia aridhike na ajione ana Umuhimu na Thamani hapa.

Mtanuna sana tu!
 
Jf is no longer the home of great thinkers

Ungetajwa katika Serikali Kuu ' ungepovuka ' hivi Mkuu? Yaani kuna Watu mlivyo na Wivu na Chuki zenu britanicca ameleta tu Uzi huu ' Kimasihara ' na Kuchangamsha Baraza / Jamvi lakini mmechukulia kama ni kweli vile na Mioyo yenu imejaa Hasira. Waswahili ni Waswahili tu Siku zote. britanicca ikikupendeza kama utaunda Serikali yako nyingine tafadhali huyu PTER awe Makamu wa Rais sawa?
 
JF ina watu wakarimu sana wenye upendo na maarifa mengi, wabobezi wa masuala mbalimbali wote wanapatikana humu, ni busara sana kuwa msikilizaji zaidi kuliko kuwa muongeaji bali pale inapobidi na hasa 'unapoguswa' kwenye eneo ambalo uko vizuri nalo, u-much know nao sio mzuri sana!
 
nahunga hoja

Kukosa Umakini wenu hata katika Kukijua vyema Kiswahili ndiyo maana hata mnasahaulika katika Kutajwa na Kupewa Vyeo hapa Jamvini. Hivi katika Lugha adhimu ya Kiswahili tuna neno la ' nahunga hoja ' kama uliloliandika hapa au tuna neno sahihi na sanifu kabisa la ' naunga mkono hoja ' ambalo hata BAKITA wanalitambua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…