thundercat8
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 310
- 690
Lakini ndhani kwa hizi percet ambazo tunapewa na haya makampuni bado hazijitoshelezi, unless serikali iweke mikataba ya uwekezaji ambayo hatuminywi.Labda serikali imeona ina matrilioni ya ujazo wa dhahabu zipo ardhini hakuna shida zitachimbwa
Safi great thinker1. Kuuza dhahabu yote is a bad move, kwa sababu mataifa yoye makubwa sasa hivi yananunua dhahabu kwa kasi kubwa kwa sababu ya kupotea thamani kwa fiat currency (pesa za karatasi). US ambae ni kiranja mkuu kila siku tunamuona trump anahangaika kuiokoa dollar kwa sababu maji yamefika shingoni mataifa makubwa kama BRICS na mengineyo yameshtuka mapema yanataka kujitoa kwenye mfumo wa dollar ( dumping USD to buy gold) huku wakitengeneza currency yao itayoshindana na dollar.
2. Serikali ya TZ haina mgodi wa kuchimba hio dhahabu, wanainunua kama watu wengine wanavyonunua. Kumbuka tunapewa percent ya mapato kutoka kwenye migodi yetu in pesa not dhahabu. Bei ya dhahabu inapanda kwa kasi sana kiasi kwamba serikali itashindwa kuzinunua hizo dhahabu back because it will be more expensive to buy back.
3. He who has the gold makes the rules. Jua kwamba mataifa hayanunui dhahabu kama akiba wananunua ili siku mfumo wa pesa tulionao sasa ukifeli wawe wana mbadala wa pesa (gold is still money na ndio matumizi makubwa ya dhahabu achana na urembo ambao ni percent ndogo ya matumizi ) So kuuza dhahabu ni kuujirudisha umaskinini sana kwa sababu siku haya makaratasi wanayoprint stationery za BOT na FED America zikienda mrama, kama nchi itakua exposed kwenye umasikini makubwa sana.
Hoja ijibiwe kwa hoja
Sawa kwa leo tunaonenaka tunalalamika, lets wait and see what the future holds when ignorance is celebrated.Kikufaacho chako, hivi hao wasomi wanaoshauri iuzwe unafikiri walikurupuka so sad Kila kitu tunalalamika.
Sasa kama ndani ya miezi 3 tu ndo hali ishakua hivi je,mpaka trump amalize muda wake hali itakuaje si itabidi tuwe tunawapora wachimbaji wetu wadogo wadogo sababu hatutokua na hela tena za kuwanunuza ili tupate yakuuza njeKikufaacho chako, hivi hao wasomi wanaoshauri iuzwe unafikiri walikurupuka so sad Kila kitu tunalalamika.
Na nyie hebu acheni bwana, hilo takataka mtakuwa mnalisingizia halina uwezo wa kuchambua uchumi!1. Kuuza dhahabu yote is a bad move, kwa sababu mataifa yoye makubwa sasa hivi yananunua dhahabu kwa kasi kubwa kwa sababu ya kupotea thamani kwa fiat currency (pesa za karatasi). US ambae ni kiranja mkuu kila siku tunamuona Trump anahangaika kuiokoa dollar kwa sababu maji yamefika shingoni mataifa makubwa kama BRICS na mengineyo yameshtuka mapema yanataka kujitoa kwenye mfumo wa dollar ( dumping USD to buy gold) huku wakitengeneza currency yao itayoshindana na dollar.