Serikali kuwabana zaidi waagizaji Magari yaliyotumika ili kulinda uzalishaji wa ndani

Mahindra wanakuja kuwekeza 10 billion ambazo hata vijana wa Njombe wanazo kwenye akaunti zao.
 
Sasa wanataka kila gari mtaani liwe Mahindra.? Na yalivyo mabovu sitaki hata kuyasikia nilinunua moja pick up nikaliuza Kwa hasara sasa hivi nipo na land cruiser yangu full bata
 
Ata hiyo mitumba kodi ni zaidi ya bei ya gari. Nadhani kuna haja ya kuwapa CHADEMA hii nchi
 
---
Wakati Kiwanda cha Magari cha Mahindra cha India, kikikusudia kuwekeza zaidi Sh10 bilioni nchini

Ila nchi hii nayo umasikini umekithiri sana!

Yaani kupata uwekezaji wa bilioni 10 kwenye magari hadi rais wa nchi akasote kuizunguka dunia yote!? Au umekosea tarakimu mkuu?

Bilioni kumi sidhani hata kama inanunua mabasi 20!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bora serikali ingewekeza hizo bil 10 kwenye utafiti na vitendo kwenye vyuo vya ufundi (VETA) na vyuo Kama DIT na MUST nadhani tungekuwa tunazalisha magari yetu wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…