Serikali kuwabana zaidi waagizaji Magari yaliyotumika ili kulinda uzalishaji wa ndani

Hivi Mahindra nayo ni gari? Let’s be serious, wenye magari wakiambiwa pita mbele….na wa miliki wa mahindra watapita mbele eeh?
 
Nilitaka kushangaa hii hoja ya kipuuzi isimuhusishe Kitila Mkumbo!
Kama nguo tu original tumeshindwa kununua majority tunavaa mitumba na makwasukwasu ya Mchina itakuwa gari mpya?
Kwanza toka lini Muindi akatengeneza gari nzuri,Mahindra nayo ni gari ya kuwazuia watu waache kuagiza used Toyota Crown,Prado,VX, Range rover,Discovery nk.
Hizo Mahindra wawauzie Makada wa the green mamba!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Nimeisoma hiyo nikaishia kusikitika tu. Wanataka wao pekee ndio waendeshe magri barabarani.

Kitila mkumbo ni kiazi kabisa, sasa nimeamini. Ni akili ndogo.
Sasa Mtu kasoma Sociology kuanzia Degree mpaka PhD ataelewa nini juu ya masuala nyeti ya kibiashara!
Mimi nikajua wameta trilioni 10,kumbe pesa ndogo ya Bilioni 10, ndiyo iwazuie Watanzania kuendesha used za Toyota, Marcedes Benz, Land Rover,BMW,Audi nk.
Hizo Mahindra wawauzie Wazanzibar,Watanganyika tunataka vyuma vya Japan na Ulaya!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Shida sio sera, shida ni hali ya kiuchumi ya mtu mmoja mmoja sio rafiki.
Kununua gari mpya jamii ya ist kwa milioni 50 hivi wakati hiyo 50 unaenda kwa discovery used fresh tu.
Kwanza serikali iboreshe maisha ya mtanzania wa kawaida, ionekane gari sio anasa.
 
Hayo magari yawe na ubora tu wa kuhimili barabara za nchi hii

Maana Toyota wammefanikiwa kukamata soko la East Afrika ikiwamo Tanzania kwa kuwa gari zao imara, vipuri vinapatikana kwa urahisi nagari zao nyingi imara sana zinahimiri ubovu wa barabara zetu

Tuache soko uhuria lifanye kazi yake otherwise tunarudi kwenye mfumo wa monopoly
 
mkuu mpaka leo huku tunatamba na harrier za 2004 ukiwa na ya 2010 tunasimama ukiingia baa.sisi hayo ya umeme ni after 40 yrs
Hakuna kitu kama hiko, hata USA kuna watu wanatumia gari za zamani, gari za umeme zitaingia kwa kasi hapa Tanzania na mtashangaa, Chinese ndio wanaongoza hivi sasa kutoa gari za umeme, nikisema Chinese ndio wanazitoa bila shaka jibu unalo kipi kinakwenda kutokea. zitakuwepo gari za umeme za mil 30, we ni ku charge tu, hakuna mtu atataka kupoteza pesa kununua mafuta wakati umeme nishati yenye bei nafuu zaidi ipo.

Electric Vehicles ndio zinakuja ku take over hivyo, trend ndio hiyo,ajabu ni kwamba gari za umeme ni bei nafuu sana.
 
Hivi Mahindra nayo ni gari? Let’s be serious, wenye magari wakiambiwa pita mbele….na wa miliki wa mahindra watapita mbele eeh?

Mahindra wanazingua sana, miaka ya nyuma walitoa magari yanaitwa Korando, walizitumia sana CCM kwenye kampeni zao 2005. 😁
Gari mpya inachanganya oil na maji😁
 
Kwa hiyo muhindi mmoja na kakiwanda kake ka kufunga matairi na Engine anataka wote tununue bajaji zake, washamba wameshapewa vipesa na muhindi sasa wanataka kulazimisha visheria uchwara kumpa soko la nguvu, nchi imejaza viongozi wa hovyo sana kama huyo chawa Kitila na njaa zake
 
Lakini Kwa u meme wetu ambao hata kuwasha vibatari ni issue, sijui itakuwaje, watu waanze kuwa serious na solar sasa, TANESCO ni janga lingine
 
Biashara haipo kwenye magari kiserikali bali ipo kwenye mafuta mkuu. Sasa hizo kodi za mafuta watawezaje kuzikusanya wakitaka kila mtu awe na gari jipya. Matokeo yake idadi ya magari itakua ndogo na ndio mwanzo wa kudondoka kwa uchumi.
 
Kenya wameweka magari ya umeme Rwanda wako na Volkswagen sie ma nini tena sijui hindra?
Balaa
Zamani scania walikuwa wana assembling plant hapa bongo......
...
 
Sawa. Tatizo sisi kajamba nani tutaweza kuyanunuwa hayo magari?! Hasa yale madogo?!
Ni kama kulazimisha tuvae nguo za Urafiki and such wakati hazina mvuto, zinachuja mapema, bei mbaya...
Tunataka options, na siyo kutulazimisha kununuwa bidhaa tusizotaka...
 
Sioni sababu ya mimi kutumia pesa yangu kununua gari ya mahindra. Gari za India ni Shapeless, mvutoless, unreliable, durability less, expensive etc.

Serikali iwalete toyota, subaru, honda, bmw, benz, ford na kampuni nyingine kama hizi, badala ya wahindi

Au kama vipi hao wahindi wakawekeze pemba
 
Kama na serikali itaachana na ma- lancruiser lc 300 na kuanza kutumia mahindra jeep, itakuwa sawa.
 
Kampeni sasa nchi yote iwe ya bajaj hakuna cha IST wala Vitz.

Gari ya miguu mitatu ndiyo serikali inataka watanzania wote muendeshe. Vigogo wachache tu pekee ndiyo waendeshe magari ya 'ukweli' ya magurudumu manne.

Mji wa Jigjiga katika jimbo moja la nchini Ethiopia ni maarufu ambapo bajaj imetawala na Tanzania ndani ya muda mfupi itakuwa hivyo.

 
Mtaji wa Bilioni 10 ndio sheria zibadilishwe?
Bilioni 10 hata Diamond aweza kuwekeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…