Serikali kuwabana zaidi waagizaji Magari yaliyotumika ili kulinda uzalishaji wa ndani

Imenilazimu kupitia mtandao wao kujua hali ikoje kwa magar yao, niseme ukwel ni mazuri na ni suv poa sana zenye matumiz kdgo ya mafuta na gharama zake zipo chini, unapata suv kwa 24M tena mpya hii ni bei ya usd kwa jpan tena plus ushur na gar ya chin ya 2005 zenye muonekana wa kizaman sana
 
Kumbe hivi sasa serikali inanunua used cars? Basi ndio maana nakutana barabarani na maana mfano polisi siku hizi wanahadi Noal old model
 
Tena zile zilizoletwa kwa ajili ya ccm na sidhani kama kuna yoyote bado iko bar

Umeonaee
 
Jambo zuri lakini uagizaji na wingi wa magari mitumba inaweza kuwa kielelezo cha uwezo wa Watanzania wengi kiuchumi. Hakuna binadamu asiyependa kuzuri lakini uwezo wa kukigharamia inakuwa changamoto. Hata huko India kampuni hii inatengeneza magari ambayo wenye kipato cha wastani watakimudu. Hata hivyo tuendelee kuipongeza serikali kwa juhudi za kuvutia wawekezaji wengi. Na uzalishaji na usambazaji wa umeme ukitengemaa wawekezaji watamiminika.
 
Ma CCM mengi ni mazombie
 
Hii nayo ni biashara kama biashara zingine, ina maana hao wawekezaji wanaogopa ushindani kwa wafanyabiashara wanaoingiza magari nchini hadi kupelekea kuminywa kwa sheria ili uagizaji uwe mgumu!

Hao Mahindra waje na mbinu mpya na zenye ushawishi ili wapate kuliteka soko na wauze magari kutegemeana na uchumi wa nchi ulivyo (hasa kutokana na pato la mwananchi).
 
Huyu wazir mtu wa ajabu sana,anaonekana anawapigia chapuo hao mahindra tu
Kitu kingine,nimeona huyu waziri anapigania jambo ambalo haliwezekani,ni asilimia ndogo sana ya watanzania wenye uwezo wa kununua magari brand new

Ova
 
Kumbe hivi sasa serikali inanunua used cars? Basi ndio maana nakutana barabarani na maana mfano polisi siku hizi wanahadi Noal old model
Mengi ni yale yaliyotelekezwa vituoni na watuhumiwa na wao kuyataifisha.
 

Viongozi wa ccm hawajawahi kuwa na akili. Upuuzi mtupu
 
Tunaelekea kwenye ubepari.
Wachache ndo watamiliki vitu, gari, nyumba, viwanja, kazi.
Brand new car ya kawaida ni usd 36,000
 
Kwann unarudia kuweka kitu ambach kimeshawekwa hapa
 
Kenya wametangaza sheria hiyo hiyo mwisho ni gari za 2016 kuagizwa kutoka nje. Haya yote ni kwa manufaa ya matajiri na wawekezaji.
 
Kwani nini usiweke kichwa cha habari kuwa "Watanzania kurudi kwenye enzi ya siasa ya ujamaa (Wa Mwalimu) ambapo gari ilikuwa anasa" ??
 
Biashara ya usafirishaj itabaki kwa matajiri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…