Serikali kuwapima afya ya akili waajiriwa wapya

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,402
Reaction score
4,532
chanzo gazeti la mwananchi la jana 19 Dec 2024
Ila mimi kwa mawazo yangu waache kuonea watumishi wa umma.Wangeenda mbali zaidi na Wanasiasa hadi Bungeni.
kuna baadhi ya mambo wanapitisha mpaka unawaza wanafikiria kwa kutumia matumbo au kichwa?

Ni mambo yapi ambayo mnafikiri wabunge wetu wakati wanapitisha hawakuwa sawa?
Tiririkeni.
 
Waanze na wabunge,majaji,polisi na watendaji wa kata vijiji nk.
 
kweli kabisa maana najua watasema waanze na walimu maana huwa wanawaonea sana mfano ile issue ilipita eti mwalimu kabla ya kuanza kazi anapewa tena mitihani.
Uonezi tuu,walimu wanasahaulika sana!Wakati ndio Chanzo Cha mafanikio yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…