wito wangu kwa serikali ni kuongeza nyanja za ajira kwa vijana kama vile kuja na programs za kibunifu . programs hizo zitakuwa na uwanja wa kutoa fursa kwa vijana wa kila rika kushiriki .
mfano katika nchi yetu kuna watu wenye uwezo wa kuandaa maudhui yenye ubora (content creators) na kuwa na wafuasi wengi (followers) tunaona katika platiforms mbali mbali mfano youtube, instagram, facebook.
kwahiyo natoa rayi kwa serikali kutumia fursa hiyo kwa kutengeneza platform ambayo watu watashiriki kuuza maudhui yao , kwa maana ya kwamba (content creators) watatumia platform hiyo kuuza mauudhui yao.
baada ya miaka kadhaa platiform hizo zinaweza kupunguza wimbi la vijana wasio na ajira kwa sababu platform hizo zinatoa fursa kwa vijana kuonyesha ubunifu wao.
pamoja na hilo, nchi yetu itaweza kupata kodi nyingi kutoka kwenye hiyo platform na pia kuchochea Tanzania kuwa ya kidigitali zaidi.pia itaweka urahisi kwa nchi kutoa elimu mbali mbali na mafunzo kupita kwenye platiform hiyo kwa urahisi mana mmiliki mkuu wa platform hiyo itakuwa ni serikali
hitimisho, napenda kutoa hongera kwa serikali kwa kuja na wazo la umiliki wa satellite yetu , naiona mbali Tanzania baada ya miaka mitano . Pia napenda kutoa shukran kwa waandaaji wa shindano hili la stories of change sababu wanaibua mawazo mapya kutoka kwa raia kwenda kwa nchi

Upvote
2