Serikali kwanini mnachezea elimu lakini

Serikali kwanini mnachezea elimu lakini

Alexism

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
3,423
Reaction score
2,046
Ndugu wanajanvi ,naomba tulisemee ili kwa nguvu zote.Serikali imekuja na mpango unaoitwa BRN il kuboresha elimu lakini hii imekua kinyume bali umegeuka na kua mpango kuaribu elimu Tanzania.Hivi kweli mtihani gani unafanyika bilan kuwa na usimamizi kabisa .Bali wanafunzi wanafanya mitahani katika vikundi na kujadiri .Nimeshudia mimi mwenyewe kabisa yaani. ..CCM mlipotufikisha sa sa basi mmearibu hii nchi kabisa.
 
hakuna mtihani unaoweza kufanyika bila ya kuwa na msimamizi.kama ni mtihani wa taifa basi lazima awepo msimamizi mkuu na msimamizi msaidizi na kila darasa au chumba cha kufanyia mtihan lazima kuwe na msimamizi mmoja.kisheria hairuhusiwi mtu yeyote hata kama ni rais wa nchi kuingia kwenye chumba cha mtihan bila ruhusu ya idara zinazohusika na maswala ya elimu.kiufupi si sheria kwa mwanafunzi kupiga kelele kwenye chumba cha mtihani mara baada ya mtihani kuanza
 
Back
Top Bottom