SERIKALI LIPENI FEDHA YA NAULI YA LIKIZO YA DECEMBER 2024 WALIMU WA SEKONDARI MISUNGWI.
Hili ni jambo lisilokubalika hata kidogo, kwamba serikali ileile iwalipe ontime walimu wa shule za msingi wilaya ya Misungwi na inaamua kuwageuzia kisogo hadi leo hii walimu wa Sekondari Wilaya hiyohiyo.
Mh. Mchengerwa na Mh. Simbachawene tokeni mbele mtoe majibu ya kwanini iwe hivi. Mnaelewa maana ya fedha ya likizo?
Mnapotaka kulipa fedha ya december 2024 mwezi March 2025 mtawaruhusu watumishi hawa kwenda likizo ya december mtakapowalipa fedha zao?
ACHENI HIZO..