Serikali lugha gongana: Wizara ya Afya inakataza matumizi ya barakoa za nguo kujilinda na COVID-19, Wizara ya Viwanda yahimiza zitengenezwe kwa wingi

Serikali lugha gongana: Wizara ya Afya inakataza matumizi ya barakoa za nguo kujilinda na COVID-19, Wizara ya Viwanda yahimiza zitengenezwe kwa wingi

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
13,203
Reaction score
23,027
Yaani nchi hii ni pasua kichwa.

Makosa yaliyofanywa na kina JK, Oktoba 2015 ni dhambi kubwa sana ambayo sidhani kama Mungu atawasamehe.

Pathetic!!

 
Yaani nchi hii ni pasua kichwa.

Makosa yaliyofanywa na kina JK October 2015 ni dhambi kubwa sana ambayo sidhani kama Mungu atawasamehe.

Pathetic!!


Tunajenga mnara wa Babeli hakika.
 
Tatizo lilianza pale ambapo wananchi waliruhusiwa kutengeneza wenyewe barakao. Zile ni zana za kitabibu ni moja ya vifaa muhimu kwa wahudumu na mtu yeyote katika kujikinga na maambukizi kwa njia ya hewa ama njia zenye kufanana.

Jamii inaanza kushona vitenge kuwa barakoa tupo kimya! Ilitakiwa tenda itolewe katika viwanda vya ndani kushirikiana na wizara ya Afya ili kutengeneza bidhaa zenye ubora na zinazofaa kwa matumizi.

Wizara ya afya inahimiza barakoa iwe na matabaka 3 (layer) sasa hizi zetu zina matabaka matatu kweli?

Acheni tuvae hivyohivyo maisha yaende.
 
Sasa hapo yupi yupo sahihi?
Mi namwamini mtaalam wa afya.
 
Heri kijana maskini mwenye hekima, Kuliko mfalme mzee mpumbavu.
 
Back
Top Bottom