Je? Tuna sera ya elimu iliyo wazi, inayotekelezeka na kuaksi maisha halisi ya Watanzania?
Je? Tunayajua matatizo ya elimu yetu?
Je? Tuna mkakati maalumu wa kukabili changamoto za elimu ya Tz?
Je? Serikali inatambua umuhimu wa elimu na ubora wa walimu?
Je? Walimu wanajithamini na wanathaminiwa na jamii na serikali?
Je? Kero za walimu zinatatuliwa?
Tutafakari pamoja.