Serikali: Maombi ya Simba yalikuwa makubwa sana, tutawapa Tsh 42M kawa wenzao

Serikali: Maombi ya Simba yalikuwa makubwa sana, tutawapa Tsh 42M kawa wenzao

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Barua ya Simba ilikuwa na maombi makubwa kidogo ambayo kwa hatua za haraka haraka imekuwa vigumu kuifikia. Lakini tukasema, hata kama hatuwezi kulitekeleza hili, basi kama ambavyo tumefanya kwa timu moja pia tufanye kwa timu nyingine.

Gharama za Yanga kwenda Pretoria kwa mashabiki ilikuwa kama milioni 42 hivi, kwahiyo kiasi hicho hicho ambacho tumekitoa kwa Yanga tutakitoa kwa Simba.”
 
84 ingefanya jambo kubwa sana kwa soccer la vijana,tungeweza kupata viwanja vya netball au basketball 10 vya kisasa
hata hivyo bado si hasara, Simba na Yanga wanaenda kuleta ushindi kwa Taifa, na midola kibao watapata 🐒
 
Dah hizo zote ni hasara tu hakuna cha simba wala yanga hiyo pesa yote mbona kuna mambo mengi ya muhimu ya kufanya.

Haya hapo vi vilabu viwili mwakani zikienda timu nne muyakumbuke haya mnayoyafanya na vilabu vingine vitakavyoshiriki mashindano ya caf
 
Makolo bhana wakataka kupewa ndege ya raisi waende nayo misri.
 
Back
Top Bottom