Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
hata hivyo bado si hasara, Simba na Yanga wanaenda kuleta ushindi kwa Taifa, na midola kibao watapata π84 ingefanya jambo kubwa sana kwa soccer la vijana,tungeweza kupata viwanja vya netball au basketball 10 vya kisasa
Kwanini visingetolewa kwa pamoja?kwahiyo kiasi hicho hicho ambacho tumekitoa kwa Yanga tutakitoa kwa Simba.β β Gerson Msigwa, Katibu Mkuu
Hayakuanza juziHatujashau nd andege ya kwenda Mbeya msimu uliopita