Serikali Mbadala ya CHADEMA

Facts1

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2009
Posts
307
Reaction score
28
Wana JF mimi ni mgeni humu jamvini, katika nchi za wenzetu vyama vya upinzani huitwa a waiting Government au a Coming Government au The Next Government. Hivi vyama tiari huwa vina wasemaji vivuli kwa kila idara. Kwa mfano Uingereza kuna Conservative na Liberal Democrat vote hivi vina wasemaji wazoefu kwa kila idara au wizara.
Hapa nyumbani achilia mbali na mawaziri vivuli wa muungano wa upinzani bungeni, chama kama chama nacho kinatakiwa kiwe na muundo wa serikali yake. Katika chama cha CHADEMA nimekuwa nikiwasikia takribani wakurugenzi wawili au watatu tu wakiwa kama wasemaji wa idara zote.
Kwa mfano nimekuwa nikimsikia zaidi Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Mahusiano ya Kimataifa John Mnyika, Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri Jonh Mrema, Sheria na Mambo ya Katiba Tundu Lissu.
Kuna idara nyeti kama Elimu, Afya, Kilimo nk,wako wapi wasemaji wake kama wapo mbona hatuwasikii kwenye masuala yao kama John Mnyika anavyokuwa shujaa kuhoji masuala nyeti kama Tanzania kuhusika na uuzaji wa silaha DRC? Naomba mwenye Idara zote aniletee hapa JF na wakurugenzi wake ikiwezekana na uwezo wao hata elimu zao ikiwezekana.
 
Wanao hao tu ndugu yangu,watawapate wapi ?
 
Sla= mambo ya dini na ubatizwaji
Mbowe= nikilakitu yeye
Wachaga=kamati kuu ya maendeleo ya chama

Zito=Chadema celebraty, big bro

wengine nakutafutia!!
 
Sla= mambo ya dini na ubatizwaji
Mbowe= nikilakitu yeye
Wachaga=kamati kuu ya maendeleo ya chama

Zito=Chadema celebraty, big bro

wengine nakutafutia!!

mmhh!! kazi kweli kweli
 
Sla= mambo ya dini na ubatizwaji
Mbowe= nikilakitu yeye
Wachaga=kamati kuu ya maendeleo ya chama

Zito=Chadema celebraty, big bro

wengine nakutafutia!!
"Ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako" -Invisible
 
Sla= mambo ya dini na ubatizwaji
Mbowe= nikilakitu yeye
Wachaga=kamati kuu ya maendeleo ya chama

Zito=Chadema celebraty, big bro

wengine nakutafutia!!


Fika mahali kama huna la kusema unaacha linapita sis wenzako we do that kila mara na wala si kuonyesha kiwango cha uoumbavu wako .Mijiti mingine bwana
 
Sla= mambo ya dini na ubatizwaji
Mbowe= nikilakitu yeye
Wachaga=kamati kuu ya maendeleo ya chama

Zito=Chadema celebraty, big bro

wengine nakutafutia!!

Nadhani akili zako sio timamu
 
Sla= mambo ya dini na ubatizwaji
Mbowe= nikilakitu yeye
Wachaga=kamati kuu ya maendeleo ya chama

Zito=Chadema celebraty, big bro

wengine nakutafutia!!


Kwa kuwa umesemwa sana nikuulize tu kama unacho kile kitu watu wanakiita KICHWA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…