Serikali mbili zikipita kwa kura ya siri nahama chadema.

Serikali mbili zikipita kwa kura ya siri nahama chadema.

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
586
Mpaka sasa MH Sitta ameshaweka wazi kuwa masuala nyeti yatahusu kura ya siri, chadema walikuwa wakitetea kura ya siri.

Mimi nasema serikali mbili zikipita kwa kura ya siri nahama chadema kwa sababu moja kuu. wametetea usiri ambao unawanyima wananchi kumjua hasa msaliti wao. kero za muungano zinazoendelea kulitafuna taifa hili hatutajua akurekebisha maana hatujui kwa uhakika nani kaziunga mkono.
 
Ya wazi ingesaidia hata huko znz wangejua wazi kuwa kama wanataka tatu ,tatizo ni mwakilishi wao, hata huku bara wanaotaka tatu wangejua tatizo ni mwakilishi wao. hapo wananchi wangejua kuwa wawaazibu namna gani kwa kura mwaka 2015.
 
Hoja dhaifu sana.ushindi wa serikali 2au 3 ni wa bunge nzima(watanzania) sio wa CHADEMA au CCM "hoja makini na uamuzi"
 
Eti 20% ya ajira zote za Muungano wamepewa Wazanzibari!

Yet hawachagii hata ndururu moja katika Muungano huu sasakwa miaka 50!

Halafu watu wanasema Muungano huu ni wa kuigwa baani Afrika?

Ni ajabu ila ni ukweli!
 
Mpaka sasa MH Sitta ameshaweka wazi kuwa masuala nyeti yatahusu kura ya siri, chadema walikuwa wakitetea kura ya siri.

Mimi nasema serikali mbili zikipita kwa kura ya siri nahama chadema kwa sababu moja kuu. wametetea usiri ambao unawanyima wananchi kumjua hasa msaliti wao. kero za muungano zinazoendelea kulitafuna taifa hili hatutajua akurekebisha maana hatujui kwa uhakika nani kaziunga mkono.
wewe HIVI CHADEMA INAHUSIKA VIPI NA MAAMUZI YATAKAYO TOLEWA NA WAJUMBE WOTE WA BUNGE LA KATIBA?, HUJUI KITU, NIMEPOTEZA MUDA WANGU HATA KUJIBU.
 
Back
Top Bottom