GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Serikali mkoa wa Mara imesema inatarajia kuweka uraratibu wa kuwakagua wanafunzi wakike kabla ya kuingia darasani , waliokekeketwa na endapo itabainika kuna mtoto kakeketwa wazazi na walimu wakuu watachukuliwa hatua za kisheria kwa kushindwa kudhibiti ukeketaji.
Chanzo: Jambo Tv
Yaani kabisa Serikali ya Mkoa wangu wa Asili wa Mara ( Musoma ) hili ndilo mmeona la Maendeleo Kwenu?
Hivi mnajitambua kisawasawa nyie?
Chanzo: Jambo Tv
Yaani kabisa Serikali ya Mkoa wangu wa Asili wa Mara ( Musoma ) hili ndilo mmeona la Maendeleo Kwenu?
Hivi mnajitambua kisawasawa nyie?