Serikali: Mkopo tuliopewa na IMF tutautumia kujenga madarasa na kuimarisha Huduma za Jamii vijijini

Kwamba tumekuwa vilaza sana au ndio kila jambo lazima tupinge! Mbona linkage ni rahisi sana. Corona imeathiri uzalishaji wa bidhaa na Huduma na kupungua kwa uzalishaji na Huduma kumepunguza mapato ya serikali, mapato ambayo yangeweza kuelekezwa kwenye maeneo hayo ya ujenzi wa miundombinu na huduma za jamii. Kwahiyo, bado hakuna misallocation yoyote ya mkopo huo. Shida ipo wapi hapo wakuu? Tujitahidi tuwe objective kidogo.
 
Deni la TAIFA! Mwendazake ameliacha likiwa sh.71t/-! Sijui huyu Mama ataliacha likiwa kiasi gani!
 
Bavicha wagumu sana kuelewa!
 
Si mgoma kuchanjwa!Sasa mnata mkopo ufanye kazi gani?.
 

Kampeni za kusimika mwanamke 2025
 
Reactions: BAK
Dah....
 
Kuna mkopo mwingine eti wa kupambana ná COVID-19 Chifu Hang ya anafukuzia kule WB. Mama wa kukopa kopa.

Anaitamini 2025 kama vipi iwe hata kesho. Kadhamiria kweli kweli.

Anajua kizingiti hapo ni tume huru ambayo pia itakuwapo kwenye katiba mpya.

Ni nia yake kututoa kwenye real issues hadi baada ya 2025 atakapokuwa kesha kwiba.

Kwa kweli madaraka Matamu. Alipo haoni wala hasikii. Macho yake yote post 2025. Hii hata kama atakunywa damu za watu:

 
Reactions: BAK
uyo girson mwongo mwongo huyo msemaj wa hovyo sana, hsyp madarasa wanayosema wanajenga yako wapi?? mbn mm uku kwetu hakuna hata moja....au huku si Tanzania? hii serkal ikubal tu ina matumiz ya hovyo sana, yaan hovyo kbs
 
uyo girson mwongo mwongo huyo msemaj wa hovyo sana, hsyp madarasa wanayosema wanajenga yako wapi?? mbn mm uku kwetu hakuna hata moja....au huku si Tanzania? hii serkal ikubal tu ina matumiz ya hovyo sana, yaan hovyo kbs

Kwani na zile za tozo wanasema je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…