KERO Serikali mliangalie hili, inakuwaje mtu anachaguliwa Kozi ambayo hajaomba?

KERO Serikali mliangalie hili, inakuwaje mtu anachaguliwa Kozi ambayo hajaomba?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kijana amenaliza form form na pass za Phy C, Biology B,Chem A, na Maths Chaguo la kwanza aliomba Pharmacy, Chaguo la pili aliomba vyuo vya ufundi.

Sasa amepangiwa kwenda Advance PCM. Imeaaje hii wakuu ukizingatia hakupenda kwenda Advance kabisa.
Mkuu! Ni rahisi kwenda kusomea vyuo kama hutaki kwenda Advance kwasababu vyuo sio bure unajilipia Ada! Wee andaa karo yako karipoti. Lakini kama umepangiwa vyuo kwenda Advance ni ngumu labda usubiri second selection. Katika ufaulu wa juu sifa ya kwanza ni Advance kama hutaki nenda chuo chako pendwa si maokoto unayo?
 
Usicomplicate mpeleke chuo Cha serikali au private unachokitaka maana ana ufaulu mzuri.
 
Hapo mbona hamna shida mkuu. Kama ada haisumbui fanya maombi ya kozi yoyote uipendayo kwa chuo chochote ukipendacho.

Uzuri mwanao kafaulu vizuri hayo masomo ya sayansi.
TAMISEMI wana-click button tu wenzako kule kufanya uchaguzi wa kozi na comb kwa watoto wetu.
 
Back
Top Bottom