Mkuu! Ni rahisi kwenda kusomea vyuo kama hutaki kwenda Advance kwasababu vyuo sio bure unajilipia Ada! Wee andaa karo yako karipoti. Lakini kama umepangiwa vyuo kwenda Advance ni ngumu labda usubiri second selection. Katika ufaulu wa juu sifa ya kwanza ni Advance kama hutaki nenda chuo chako pendwa si maokoto unayo?