Mr Mayunga
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 313
- 40
Naona serikali ipange ada elekezi ktk sector ya Elimu. Kuanzia primary had chuo kikuu. Hii itasaidia mfumuko wa ada.
Hapo penye bold serikali imeshaongeza shule za kutosha tunzaoziita za kata,lakini kichekesho ni kwamba elimu inazid kudorora wamechakuchua shule za msingi,sekondari na sasa wameingilia vyuo vikuu!Shule binafsi zinaada kubwa mno na hasa ukizingatia uchache wa shule zenyewe.Serikali nyie wenyewe ndio mnasababisha hela inashuka thamani bila yakuikomboa mfano 1$=1750 tzs.Tunahitaji haya ya fanyike
.pangeni ada elekezi kwa shule zisizo chini yenu,itakayokaidi futa usajili.
.ongezeni shule zenu(serikali)
.elimu bora kwenye shule zenu tunaitaka(serikali).
.ukaguzi kwenye shule binafsi tunautaka.
Shule binafsi zinaada kubwa mno na hasa ukizingatia uchache wa shule zenyewe.Serikali nyie wenyewe ndio mnasababisha hela inashuka thamani bila yakuikomboa mfano 1$=1750 tzs.Tunahitaji haya ya fanyike
.pangeni ada elekezi kwa shule zisizo chini yenu,itakayokaidi futa usajili.
.ongezeni shule zenu(serikali)
.elimu bora kwenye shule zenu tunaitaka(serikali).
.ukaguzi kwenye shule binafsi tunautaka.