Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hizi ni picha za Chuo cha Ualimu St Marys kilichopo Tabata. ni aibu kuona hapa wanafundishwa walimu na ni jambo la kusikitisha zaidi chuo hiki kipo mjini tena jijini Dar Es Salaam.
Chuo hiki sehemu hii inaitwa Sub Campus iliyopo eneo la Tabata karibu na St Marys shule ya sekondari ni jambo la kusikitisha kuona wanafunzi hawa wanaosoma madarasa ya hovyo machafu namna hii wanalipa zaidi ya milion moja kwa mwaka.
Darasa kama linavyoonekana kwenye picha ni chafu, limeoza na lina joto sana. wazazi wengi wameanza kujiuliza kama mwalimu tu anafundishiwa darasa kama hili hivi hata uelewa wake utakuwa mzuri? na je hawa wanafunzi kweli wana vigezo vya kusoma vyuo au ni wale ambao hawana vigezo hivyo hawana pa kwenda.
Chuo hiki kinamilikiwa na yule mama mfanyabiashara mkubwa anayetumia shule na kanisa kufanya biashara zake Mama Getruder Lwakatare. zaid zaid Chuo hiki kinasifika kwa kuajiri wakufunzi wasio na sifa ili wafundishe wanafunzi ambao watakuja kuwa walimu siku za mbeleni. habari za uhakika zinasema hata mkuu wa chuo aliyepo madarakani hivi sasa Bwana Kamau hana Si Mwalimu Professionally na Hajui lolote kuhusu Ualimu hasa kwa ngazi ya Kuongoza Chuo.
hilo halitoshi Chuoni hapo kuna Mkuu wa Taaluma ambaye naye ni mbabaishaji asiye na Elimu ya Ualimu akiongoza walimu wachache ambao wana Degree za Ualimu na wengi wababishaji. wanafunzi wengi wamekuwa wakilalalmika namna ambavyo wanatozwa ada kubwa kwa elimu dhaifu maana chuo hiki ambacho kinafundisha mpaka Computer ni aibu hakina Computer room inayofanya kazi toka mwanzoni mwa mwezi wa Sita.
Mbaya zaidi kwenye kampeni ya kuhakikisha kuwa shule zinakuwa na maabara chuo hiki hakina maabara pamoja na kufundisha masomo ya sayansi. tunajiuliza Serikali inashindwa kukiona chuo hiki ambacho kipo wilaya moja na Ilipo Wizara ya elimu je itaweza kuviona vyuo vingine vilivyoko hata wilaya nyingine acha mikoa?
Chuo hicho ambacho hata ukienda ofisi za walimu utaona aibu jinsi kulivyo hovyo kana kwamba ni mgahawa. wanafunzi wengi wameanza kunung'unika kutokana na hali iliyopo chuoni hapo ikiwa ni pamoja na mwenye chuo kuonekana kujali pesa zaidi kuliko elimu na hivyo kupelekea kuwa na Uongozi mbovu unaoshindwa kumshauri KITAALUMA kwa kuwa HAUNA TAALUMA YA ELIMu
HIZI NI PICHA YA CHUO HICHO ENEO LA TABATA KARIBU NA SHULE YA ST MARYS
.