Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Huyu mwamba wa Afrika Captain Ibrahim Traore, ni mtu nilitaka kumwona machoni akiwa Dar.
Huyu Rais Traore ni nyota ya mwafrika, na kila mwafrika mwenye kujielewa angependa kumtia machoni.
Serikali ingetutengenezea wananchi, hata mahali tunaweza kumwona mwamba huyu.
Alipokuja Mandela serikali ya wakati huo ilitengeneza mazingira nami nikamtia machoni Nelson Mandeala na mkewe Winnie Mandela.
Serikali tupe raha.