Ni vema Ma rpc wakajibu haya pia mikoani zianzishwe joging clubs za club huru mfano kukianzishwa mbowe au Tundu lisu marathon waruhusiwe pia maana wote ni watanzania .Hawa CCM kwa miaka karibu mitano wanajinadi lakini hawauziki, hivyo, hata wakiendelea kujinadi hakuna wa kuwaaunga mkono zaidi tu ya wale wanaofaidika na uwepo wa CCM na wajinga wachache wasiojua yanayoendelea nchi hii.