Doh kama huo ndio mtazamo wako basi umeenda kombo mzee!Kwani unafikiri Israel na US hawajui matokeo ya wanacho fanya hapo.
Wao wanamtafuta Russia tu aingie vitan kiaina na hao droze Ili wapigane indirect kupitia hao droze.
Irani akijichanganya naepia ndio lengolao.
Wanatengeneza vita wakiwa na plan A,B,C,na kuendelea.
Wanataka kuwaweka bz Russia na Irani.
Ilienda wapi?Urusi ikirudi Syria
Dogo ulilewa tukakuacha,kabla ya gogoro la urusi/Ukraine ilionekana fika Kuwa watakaposusia nishati ya Urusi mbadala wake ni nishati toka QatarHesabu yao ni ipi?
So hayo yote unayo yasema wewe Huku Means Russia hawajui !?Kwani unafikiri Israel na US hawajui matokeo ya wanacho fanya hapo.
Wao wanamtafuta Russia tu aingie vitan kiaina na hao droze Ili wapigane indirect kupitia hao droze.
Irani akijichanganya naepia ndio lengolao.
Wanatengeneza vita wakiwa na plan A,B,C,na kuendelea.
Wanataka kuwaweka bz Russia na Irani.
So it means Russia Wana husika katika kumpindua Assad ili wapitishe huo mkataba wao wa Bomba la mafuta!?Ilienda wapi?
Dogo ulilewa tukakuacha,kabla ya gogoro la urusi/Ukraine ilionekana fika Kuwa watakaposusia nishati ya Urusi mbadala wake ni nishati toka Qatar
Nishati kuisafirisha Kwa njia ya bomba ni gharama nafuu.Ili ifike iendako isiwe na mzunguko mrefu ni lazima ipitie Syria,wakaomba kupitisha bomba Syria wakawabania,ukumbuke Urusi alishawaotea na yeye ndo aloweka pingamizi Hilo ili washike adabu.
Waloomba waliponyimwa wakaona mambo yasiwe mengi,manake wameomba weee mpaka mate yamekauka mdomoni,wakaona suluhu ni kushika bunduki TU Assad atoke,ndipo urusi akaingia mzimamzima.
lIlikuwa ni Senema zetu TU Kuwa US/Israel ndo wamempindua Assad.
Out of subject..π²π²Hivi we unajua obama alikuwa mmarekani mwenye asili ya kenya?? We vipi
Hapana,,,urusi ndio kakwamisha mpango WA bomba la mafuta kupitia Syria ili liende nchi za NATOSo it means Russia Wana husika katika kumpindua Assad ili wapitishe huo mkataba wao wa Bomba la mafu
Urusi mtaalam WA propaganda,Us/Israel waliuziwa jumba bovu.Mbona ilikuwa inatajwa kuwa USA na Israel Wana husika !?
Kitamramba soon, naona ashaanza kuona madhara ya kuwaamini wamagharibi yakoje.Huyu aliwazunguka Iran, akawa anawasaidia Israel kwa kuruhusu anga la Syria kutumika na IDF huku hakikataa ndege za Iran
Ni puppet wa west