Serikali msifumbie macho uzandiki huu: Upotoshwaji kuhusu nacte-baraza la mitihani

pamoja na kasoro zilizopo necta,hakuna suala la udini.hoja za waislam ni za kitoto na ni kwa sababu ya kukosa elimu.hawa jamaa wanapoteza muda kwenye madrasa halafu wakifeli wana kuja na hoja km hizo.mtoa mada sahihisha sio nacte ni necta.

wewe kama mgalatia kasoro izo nizipi? Zina kuhujumu wapi? Kumbuka mfumo wa necta kwa kondoo kama ninyi uwa nifikra ngumu
 
@Arsenalised one,

..nashukuru kwa mchango wako.

..pia naunga mkono hoja yako kuhusu masomo ya bible knowledge na islamic knowledge. kwa kweli ingekuwa amri yangu ningesitisha mara moja necta kusahihisha mitihani ya masomo hayo.

..kwa kweli mpaka sasa hivi hakuna maelezo ya kina kuhusu process nzima ya usahihishaji mpaka kutoa matokeo ya mtihani. nilikuwa najua kuwa kuna standardization inafanyika, lakini sina details inafanyika vipi na inafanywa na nani.

..nadhani tatizo lingine la necta ni kufanya kazi kwa usiri mkubwa. mimi ningependekeza wawe mstari wa mbele ktk kutoa taarifa zao kwa umma.

..baraza limekuwa likishutumiwa kwa muda mrefu sana lakini hata mara moja hatujasikia wakitoa utetezi wowote ule kutetea heshima na uadilifu wao kwa jamii.

NB:

..hao niliowa-tag ktk mchango wangu uliopita ni wana JF wenzetu ambao kwa namna moja ua nyingine nilidhani wanaweza kuuchangamsha mjadala huu kwa faida yetu sote. baadhi yao wamewahi kujitambulisha kama waalimu, na wengine waliwahi ku-hint kwamba wana taarifa kuhusu malalamiko hayo. pia kuna mwana JF alichangia sana kwenye hoja ya Nassari kuhusu necta ningependa kum-tag lakini jina lake limenitoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…