Serikali: Mwenyekiti wa maimamu ni muhuni

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Haya sasa maimamu, tunasubiri tamko either muendelee kuiunga mkono serikali au kuipinga. Kazi kwenu.
 
Haya sasa maimamu, tunasubiri tamko either muendelee kuiunga mkono serikali au kuipinga. Kazi kwenu.

Nguvu ya soda,watalainika tu,si hata CUF alikuwaga ngangari akatulizwa.
 
Nyinyi hamuwajui Wazanzibari vizuri nadhani.


Keep watching this page.
 
Ni kweli pengine hatuwajui wazanzibar Vizuri sana, ila tunasikia kwamba ni kikundi cha watu wachache kutoka visiwa jirani na Tanganyika ambao tamaa yao kubwa ni kufaidi kikamilifu mali za watanganyika kama ardhi , ajira Serikalini na Elimu ya juu kwa kisingizio cha muungano huku wakikataa kuruhusu watanganyika kufaidi mali za zanzibar (kama Ardhi, Mafuta hewa N.k),

just thinking aloud!
 
Serikali na sherikh yupi muhuni? Ccm na serikali yake ni wahuni kupindukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…