Serikali na ajira za walim 2013

Serikali na ajira za walim 2013

Septemba11

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
620
Reaction score
532
Serikal ya tz kupitia kwa Rais wa JMT waliahid kuajir walim wapya wa ngazi zote kam 28746 mwez january2013, na pia naibu wazir wa elim P mulugo katika kpndi cha dkk45 cha ITV aliahid wizara yake itatoa ajira kwa walim wapya mapema january, lkn cha ajabu january ndo hiyo imeisha bila ya tamko, huku vijana wetu wakiangahika mitaan wasijue nn cha kufanya na wkt huo huo shule nying zikiwa hazina walim na wimbi la kufel lkiwa na janga ssa, je serikal inawahadaa watz, au elim kwao si jambo la kipaumbele.
 
Serikali imezoea kuwahadaa wananchi na ndio maana Mtwara wameamua kuandamana hata kumwaga damu lakini haki yao waipate.
 
january haijaisha jamani, tungoje hadi tarehe 31 ndo tuwahukumu
 
Kwani tar 31 mbali? Itafika na watajuta huo uongo wao. Na hili ndo sababu hata walimu hawafundishi kwa moyo na kufelisha huku watoto wao wakijitahidi waende shule nzuri. Serikali iamke na ahadi zake sasa.
 
january haijaisha jamani, tungoje hadi tarehe 31 ndo tuwahukumu

had leo tarehe 28 hta post zikitoka watarepot lin na lini wataanza kufanya kaz kam si march tena na huku muhula ukizidi kusogea
 
Tunaomba sana swala la walimu lipewe kipaumbele,wapo mi taani wanasubiri kuambiwa chochote lakn kimya mpaka leo,tafadhali waziri wa Elimu fanyia kz swala hili

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mbona post za walimu tu ndio zinalalamikiwa, kuna waliohitimu vyuo vya mifugo,kilimo,..........wanavumilia jua kitaa bila kulalamika.
 
Serikal ya tz kupitia kwa Rais wa JMT waliahid kuajir walim wapya wa ngazi zote kam 28746 mwez january2013, na pia naibu wazir wa elim P mulugo katika kpndi cha dkk45 cha ITV aliahid wizara yake itatoa ajira kwa walim wapya mapema january, lkn cha ajabu january ndo hiyo imeisha bila ya tamko, huku vijana wetu wakiangahika mitaan wasijue nn cha kufanya na wkt huo huo shule nying zikiwa hazina walim na wimbi la kufel lkiwa na janga ssa, je serikal inawahadaa watz, au elim kwao si jambo la kipaumbele.

ila januari haijaisha mdau,na endapo yakitoka tar 31 bado ni januri,,,,,subiri utapangwa
 
had leo tarehe 28 hta post zikitoka watarepot lin na lini wataanza kufanya kaz kam si march tena na huku muhula ukizidi kusogea

hata muhula ukisogea kwani ww unaathirika na kipi?si unaripot tu
ulalamishi mmezidi jamaniii,aaaah
 
Jamani kipaumbele cha elimu siyo ya serikali ya ccm kwa hiyo ajira ya walimu kwao siyo tatizo kabisa labda msubirisubiri tu.:A S-baby:
 
hata muhula ukisogea kwani ww unaathirika na kipi?si unaripot tu
ulalamishi mmezidi jamaniii,aaaah

okeeee nadhan hufaham nadharia nzima ya elimu, ni hiv mwalimu ktk muhula mzima anaongozwa na scheme ambayo inampa guidline ya nin cha kufanya katik kila wiki ambazo kwa kawaida katika muhula 1 huwa hazipungui wiki 18, sa kwa mantiki yako mwalim atatumia muda gan aweze kucover scheme ili iendane na syllubus kwa somo ambalo halkuwa na mwalim ktk shule husika!
 
Tatizon sio kulalamikiwa,waelewe hawa jamaa wanadai tatizo ni ahadi ambayo imetolewa na mkuu wa nchi na mawaziri wake bado haijatekelezwa
 
As usual,kwa serikali hii bila maandamano na migomo haki hakuna na hasikilizwi m2!
Nadhani wanasubiri maandamano na migomo kama Mtwara!!

Nakumbuka enzi za shule 2likua 2naimba
Tanzania tanzaniaaa,
Nakupenda kwa moyowoteee,
Nchi yangu tanzania,
Jina lako............!!.!

Ila leo hata wanishikie bunduki wakinambia niimbe siimbi
 
Back
Top Bottom