Septemba11
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 620
- 532
january haijaisha jamani, tungoje hadi tarehe 31 ndo tuwahukumu
Serikal ya tz kupitia kwa Rais wa JMT waliahid kuajir walim wapya wa ngazi zote kam 28746 mwez january2013, na pia naibu wazir wa elim P mulugo katika kpndi cha dkk45 cha ITV aliahid wizara yake itatoa ajira kwa walim wapya mapema january, lkn cha ajabu january ndo hiyo imeisha bila ya tamko, huku vijana wetu wakiangahika mitaan wasijue nn cha kufanya na wkt huo huo shule nying zikiwa hazina walim na wimbi la kufel lkiwa na janga ssa, je serikal inawahadaa watz, au elim kwao si jambo la kipaumbele.
had leo tarehe 28 hta post zikitoka watarepot lin na lini wataanza kufanya kaz kam si march tena na huku muhula ukizidi kusogea
january haijaisha jamani, tungoje hadi tarehe 31 ndo tuwahukumu
Hukuelewa alivyosema mapema January au kiswahili kinakupiga chenga au ndio walewale?:shut-mouth::shut-mouth:
hata muhula ukisogea kwani ww unaathirika na kipi?si unaripot tu
ulalamishi mmezidi jamaniii,aaaah