Serikali na ajira za walim 2013


hahahaha! Serikali inatuangusha sana.
 
inatakiwe tuwakumbushe kwamba, Elimu na siasa haviend kwa pamoja. siasa ibaki siasa na elimu ibaki kuwa elimu,,sasa wamechanganya haya ndio matatizo.na leo ni 29/01,,labda tuangalie mwezi wa kisiasa kama upo ndio ajira mpya zitatoka,,:target:
 
jamani endeleeni kusubiri tu ila mkae mkijua ht zikitoka si wote mtapata,kuna watakaoachwa pia kwhy hapo ni kusubiri huku ukiomba ili jina litoke.
 

hahahaaa... U made my day.
 
mulugo na jk walitoa ahadi za kisiasa ambazo always ni uongo mtupu.

lakin kwa serikal kuahid na kutotekeleza bas hyo ni kuwahadaa wananchi wake kwa kiwango cha juu, au sababu wao hawana la kupoteza sababu watoto wao wanasoma nje ya nchi na shule bora!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…