kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Habari za mda huu wakubwa,
Nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu huu utamaduni mpya ulioanzishwa mwaka jana na serikali ya hayati magufuli ya kukata pesa ya mwisho ya kujikimu kwa kisingizio cha Corona sasa napenda kufahamu je safari hii nini kimepeleakea hilo?
Je, Rais samia ameamua kuiga kilichofanyika na mtangulizi wake?
Je, uko mabungeni mbona hamkatani posho zenu? Mnabaki kutumia Amani kama kichaka cha kuwanyamazisha majority.
Je, mnafanya ivyo sababu sikuizi wanafunzi wa vyuo vikuu asilimia 97% hawana akili timamu na wate ni wafuasi wa CCM.
NAOMBA KUWASILISHA MNAPOWAKA MNALETA LAWAMA TUNAWADAI HAWA.
View attachment 1813773