Last time walipata mtu kama huyo aliwaharibia mipango yao. HawadhubutuJuzi tu hapa ccm walikuwa wanamsema MBOWE anajifanya anataka katiba mpya wakati yeye ameshindwa kuondoka madarakani Toka uchaguzi wa 1995 ni ajabu leo hii ccm imegeuka kuwa mtetezi wa mbowe swali langu je ccm na serikali yake Wana LISSU-PHOBIA?
Mwamba mfyonzaji, atoke tu.Mwamba dalali tushamshitukia
Refer uongozi uliopita. Hawapandi aggresive personSijakuelewa mkuu