Serikali na TCRA kuurudisha rasmi Mtandao wa Twitter bila kutumia VPN 'Kimya Kimya' bila kutuomba Radhi ni 'Kutudharau' Watanzania

Serikali na TCRA kuurudisha rasmi Mtandao wa Twitter bila kutumia VPN 'Kimya Kimya' bila kutuomba Radhi ni 'Kutudharau' Watanzania

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hivi ni kwanini wenye Mamlaka wengi nchini Tanzania neno Samahani ( Naomba Radhi ) Kwenu huwa ni Gumu sana huku mkidhani mkisema itakuwa mnajidhalilisha au kuonekana dhaifu?

Yaani kabla ya Uchaguzi Mkuu mwaka Jana ( 2020 ) hadi hii Leo Huduma ya Mtandao wa Twitter ilikuwa haipatikani mpaka uombe 'Lifti' ya VPN.

Baada ya Kuufungua ( Kuuruhusu ) leo Mtandao wa Twitter bila kutumia VPN nilitegemea Kwanza Serikali na TCRA Kiungwana na Kibusara tu mngetuambia kwanini mliufunga, faida zipi mlipata baada ya Kufunga na nani aliwaambieni muufunge na je, huyo aliyewaamuru muufunge bado yupo Hai ili tukamseme au ameshakufa kusudi tumshtakie zaidi kwa Mwenyezi Mungu amuadhibu huko huko Mavumbini ( Udongoni ) aliko.

Acheni Kutupuuza kiasi hiki Watanzania.
 
U got time.

Siku moja thread kumi na mbili!!!
 
Back
Top Bottom