Ni heri ya watu Wachache wanaolipa vizuri na kutunza miundombinu ya uwanjani kuliko watu wengi wanaolipa 2000 wanaoharibu viti, mabomba ya maji na kunya popote viwanjani. Hata guest za 5000 utakuta ndala zote ni za mguu mmoja au zimekatwa au za rangi tofauti ili zisiibiwe na wateja wa sh.5000Kumbe sasa ni hasara kujenga uwanja wa kuingiza watu 60,000 halafu ukawaminya kwa kiingilio wakaingia watu 20,000
Kuna vikundi vya hamasa vitakavyolipwa kwa kazi hiyo TU uwanjani. Tsh 3000 halafu upewe tiketi, ulindwe na Polisi, ukalie kiti, uzalishe takataka uwanjani zinazohitaji kuzolewa, utumie maji, choo kwa sh. 3000 yako hiyohiyo!!!! aaa buana, katafute aina nyingine ya starehe.Mimi sijapinga hoja ya kuongeza kiingilio ila nimesema tukumbuke hao wala mihogo ndiyo wenye mzuka wa kweli na mpira, ukiwatupa hao ukawakimbilia wenye pesa ambao wanafuatilia mpira wanapojisikia, mnaweza kuja kukwama.
Wewe unadhani ni mashabiki gani wanaoshangilia na kujisifu wakisikia Yanga wana mpango wa kujenga uwanja wake? Si ndiyo hawa hawa ambao leo mnasema hamuwahitaji tena viwanjani, eti wakaangalie mpira kwenye vibanda umiza?
Kwa mpira wa Sasa hawatakiwi watu wa aina hiyo. Tunatakiwa tumbakishe Mayelle, Chama, Aziz Ki, Inonga, Dune, Akamimo kwenye timu ili aendelee kutupa raha lazima tulipie starehe hiyo.Sawa lakini sisi wa buku 2 ndo tuna shangwe la kutosha pale lupaso.
Waulize viongozi wenu wanapata hasara na bado wamepitisha budget ya 23BHiyo budget ya kujitakia kama huna mapato. Utatumiaje mtaji wa 20B kupata faida ya sh. 500M kwa mwaka kama sio ujinga?
Hujui hesabu wewe, mtu mmoja akilipa kiingilio Cha sh 10,000 ni sawa na watu 5 wa sh 2000 na watu 3 wa sh. 3000.Hoja yako haina mashiko...
Ukiwa na uwanja mkubwa dizaini ya huu wetu.... ukiweka kiingilio kikubwa unapata watu wachache, so na mapato pia yanakuwa kidogo...
Lakini ukiweka kiingilio minimum... unapata watu wengi... kwa maana unajaza full house... na mapato angalau yanapanda...
Maana lengo la kujenga uwanja mkubwa, ni ku accommodate watu wengi pia!
Sasa unaweka kiingilio cha Tshs.15,000 au Tshs.20,000 kama minimum afu unajikuta umeingiza watu 20,000 tu uwanja unabaki unaelea... maana ya kutazama soka inapotea...
Ukiwaambia ukweli unaonekana mjivuni. Mambo yamebadilika.Bageti ya timu ni 24b wewe unatoa 3000, ndio maana mo anagomba kila wakati kuwa anapata hasara. Uwende ukaangalie live mechi ya Simba vs Al-ahly kwa 2000 (bia moja) umeroga?
Tiketi ya juu ilikuwa laki3Aaa kaka, hizi timu zetu Kuna wakati zinahitaji watu wa kuichangia timu Yao na kuna wakati zinahitaji watu wa kuishangilia timu Yao. Yanga jana ilikuwa inahitaji wachangiaji badala ya washangiliaji. Yanga jana imevuna fedha nyingi kuliko kama kiingilio kingekuwa 2000 au 3000. Ni hesabu TU kaka zilitumika. Kuna tiketi ziliuzwa hadi sh 500,000, mpira wa Sasa hauhitaji watu wengi oyaoya tu viwanjani. Nunua jezi, lipa ada ya uwanachama na ushabiki, lipa kiingilio na uende ukashangilie ili tununue wachezaji ghali sokoni. Hizi ni timu za wananchi.
Endeleeni kwa mentality hiyo muone mtafika wapi. Mnajaribu kujifanya Simba ila kihistoria tabaka la juu na kati kwa kiasi kikubwa limekuwa upande wa Simba, sasa wewe jichanganye.Kuna bikundi vya hamasa vitakavyolipwa kwa kazi hiyo TU uwanjani. Tsh 3000 halafu upewe tiketi, ulimdwe na Polisi, ukalie kiti, uzalishe takataka uwanjani zinazohitaji kuzolewa, utumie maji, choo kwa sh. 3000 yako hiyohiyo!!!! aaa buana, katafute aina nyingine ya starehe.
Empty brainEndeleeni kwa mentality hiyo muone mtafika wapi. Mnajaribu kujifanya Simba ila kihistoria tabaka la juu na kati kwa kiasi kikubwa limekuwa upande wa Simba, sasa wewe jichanganye.
Badala ya kushinikiza mamlaka zinazochukua asilimia kubwa katika makusanyo kupunguza kiwango wanachobeba, wewe unaona mchawi ni mshabiki.
Uwanja ulikosewa kujengwa ila kuna njia za kukabiliana na hilo. Sehemu ya kuingilia VIP zilitakiwa kuwa tofauti na kwingine. Suluhisho ni siti zote za VIP na tiketi zake ziwekewe namba. Ukifika kwenye siti yako kama kakaa mtu mwingine una haki ya kumtoa.Kila team ina set standards zake.......bora ungize watu elf 20 Ila unarudisha gharama zako za maandalizi,sasa unajaza full house elf 3 3 ,Kumanage watu inakuwa kazi na hela unapata kidogo........ .....pale taifa mtu wa ticket ya elf 3 anakaa VIPkwa kuwahonga Askari, unaweza kuwa na ticket ya VIP A,B AU C ukakuta kumejaa....... Askari anakula elf 2
Yes hili ni sahihi,njia zingekuwa tofauti hii kero isingekuwepo,wote mnapita njia moja kuingia inatengeneza mianya ya rushwa kwa AskariUwanja ulikosewa kujengwa ila kuna njia za kukabiliana na hilo. Sehemu ya kuingilia VIP zilitakiwa kuwa tofauti na kwingine. Suluhisho ni siti zote za VIP na tiketi zake ziwekewe namba. Ukifika kwenye siti yako kama kakaa mtu mwingine una haki ya kumtoa.
Sio lazima uwanja ujae bro!! uwanja ukijaa sana kwa viingilio kidogo au bure kuna gharama ambazo hazitafidiwa.Kila siku nasema, nchi yetu wananchi hawana uwezo wa kujaza uwanja na sababu kubwa ni uwezo mdogo kifedha.
Hizi timu zetu na taifa lisijenge viwanja vikubwa angalau viwanja vya watu 15,000 hivi hata wakiweka kikomo cha 5000 mnaweza jaza na kuingiza 75mil
Uwanja wa Taifa unajaa siku wakiweka bure au ni Simba na Yanga tena zikiwa kwenye kiwango
Huyu ndg watu wanaweza kumuona mjivuni lakini nimeshihudia watu wa hovyo wawili wakipambana na koki za bomba baada ya mechi Tena derby niliwazingua kinyama aseeMpira ni pesa, kutunza uwanja wa mpira na miundombinu yake ni ghali sana, lakini hata gharama za kuendesha timu na kuandaa mechi ni kubwa sana. Mpira wetu umekuwa sana, unakusanya wachezaji wakubwa wa nchi mbalimbali. Kutokana na ukweli huu hata Watanzania wanaotaka kwenda kuangalia mpira wameongezeka sana.
kautafiti kangu nilikokafanya kutokana na kuingia viwanjani kila wakati kwa muda mrefu kanaonyesha kuwa, watu waonaojisaidia haja kubwa sehemu za haja ndogo na kuharibu miundombinu ya uwanjani wengi wao wanatoka miongoni mwa watazamaji wa viingilio vya chini sana vya 2000 na 3000 au walioingia bure kabisa.
Hawa ni watazamaji ambao ama wanajutia hela yao waliyotoa, hawana nauli ya kurudia, au hawana hela ya kula baada ya mechi kwisha. Hawa ni wale ambao ni rahisi kung'oa koki au Bomba au sinki au balbu au chochote wakauze huko mtaani.
Kiingilio cha sh. 3000 hii ni sawa na 1 US Dollar, duniani hakuna mpira huo. Kiingilio kidogo kinavuta watu wengi wenye uwezo wa kuharibu miundombinu ya uwanjani na kuongeza gharama za uendeshaji kwa bei ya hasara kwa serikali, TFF, timu husika na wadau wengine.
Kiingilio kisiwe chini ya 3-5 US dollar, yaani kati ya Sh. 10,000 na 15,000. Viingilio hivi vitaendana na mabadiliko ya mpira kwenye nchi yetu.
Wewe jamaa una akili sanaKuna bikundi vya hamasa vitakavyolipwa kwa kazi hiyo TU uwanjani. Tsh 3000 halafu upewe tiketi, ulimdwe na Polisi, ukalie kiti, uzalishe takataka uwanjani zinazohitaji kuzolewa, utumie maji, choo kwa sh. 3000 yako hiyohiyo!!!! aaa buana, katafute aina nyingine ya starehe.
Kaka yaani timu inakusajilia wachezaji wakubwa, kwenye tamasha inakuletea wasanii wakubwa na inakuletea timu kubwa uone mechi live halafu wewe kiingilio ni sh. 2000, 3000 au 5000. Hivi kiingilio kwenye show ya diamond huko kwenye kumbi mitaani ni bei gani? Ukweli ni kwamba mtu aliyebuni haya matamasha lengo lake kuu lilikuwa kupata pesa kwa club.Waulize viongozi wenu wanapata hasara na bado wamepitisha budget ya 23B