ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Miaka ya nyumba wazazi wetu wakilipa Kodi ya kichwa ilikuwa elfu 5 tu.
Napendekeza Kodi ya kichwa iwe elfu 50 Kwa mwaka. Kila mwanaume na mwanamke mwenye umri wa miaka 18 ambaye sio Mzee au mlemavu alipe Kodi.
Haiwezekani hii nchi raia hawalipi Kodi wanaolipa Kodi ni wachache mno.
Wakiulizwa eti wanalipwa Kodi wakinunua vocha, wembe, mchele n.k, hii sio kweli ni kutegea jukumu la kulipa Kodi.
Watu Kwa Sasa wanajiita wanyonge sio raia wa kawaida na kujipa huruma za kijanga, mara kazi hamna, kwanini ukose kazi ya kufanya Tanzania hii kubwa amani ipo, ardhi, watu, upo mjini unajiliza tu, vipi ungekuwa Somalia, Sudan, Djibouti, Congo
Madhara ya wananchi kutokulipa Kodi
1. Kutokuhoji mambo ya maendeleo
Yaani Kwa Sasa wananchi wapo kama Manzombi. Viongozi wanamiliki timu za mipira, wananunua magari ya million 700, wanapeleka wasanii kwenye mkutano wa CCM kuomba awe na awe na, lakini Zahanati ya Buguruni hamna gloves ya mama kujifungua. Hakuna anayehoji maana watu hawalipi Kodi.
2. Mfumo wa bei. Zamani wazee wakilipa Kodi 5000 tu. Bei za bidhaa zilikuwa nafuu. Bia ilikuwa 600, sabuni 100, Kitenge 500, Daftari sh 50
Sasa kipo Bora tulipe Kodi ili bidhaa zishuke au tusilipe
3. Tunazalisha vijana wazembe na wavivu. Vijana wanabishana Simba na Yanga ila kazi hawana na hawataki, wanajiita wananchi wa kawaida na wanyonge.
Hii haiwezekani vijana fanyeni kazi mlipe Kodi ya serikali.