Raphael Thedomiri
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 442
- 729
Wataalamu,
ni ipi hasa sababu ya serikali kuyanunua madini yenye uzito mkubwa/thamani kubwa, je labda kunayo madhara yoyote endapo mchimbaji akiyapeleka sokoni mwenyewe badala ya kuiuzia serikali?
Na je mchimbaji anapata malipo mazuri zaidi kuliko sokoni?
Huo utaratibu maanake nini