Serikali na Vyama nani Zaidi?

Serikali na Vyama nani Zaidi?

Sura-ya-Kwanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2007
Posts
568
Reaction score
12
Kuna thread moja hapo awali ambayo iliuliza..." Kama ungepewa urais ungeanza wapi kunyanyua hali za wananchi?" na kwa mantiki hiyo nikaona kwa nini nisiulize kama...

'Ungepewa Uenyekiti wa Chama- iwe chama tawala au upinzani utatufikisha vipi 2010'?

Je kuongoza chama ni sawa na kuongoza serikali?
Ni nani zaidi katika kuleta Maendeleo ya Jamii, Siasa na Uchumi?-Serikali au Chama?
 
...Au uenyekiti wa Jambo Forum kama tu ingeweza kuwa chama 2010 Wana JF mmejiandaa vipi? Tutafika vipi 2010?
 
Back
Top Bottom