AFIKIRIE ZAIDI HII NIFURSA KUBWA KWA WATU WA BUNIFU ..SOCIAL MEDIA ZINAENDA VIRAL...WANGEWEZA PELEKWA ZANZIBAR BFR LEAVING AM SURE WIZARA INGEPATA WATU WABUNIFU HII NI FURSA KUBWA CZ MAMELOD WENYEW WANASHAUKU YA KUJA.Waziri alitaniatu eti. Acheni kufukua makaburi
AFIKIRIE ZAIDI HII NIFURSA KUBWA KWA WATU WA BUNIFU ..SOCIAL MEDIA ZINAENDA VIRAL...WANGEWEZA PELEKWA ZANZIBAR BFR LEAVING AM SURE WIZARA INGEPATA WATU WABUNIFU HII NI FURSA KUBWA CZ MAMELOD WENYEW WANASHAUKU YA KUJA.
ALIKAMWE ALIFANYA UBUNIFU KWA MECHI YA YANGA KUWA KAMA PACOME ILIONGEZA MVUTO ZAIDI...SASA WIZARA INAWEZA TAFUTA NAMNA YAKUWAPOKEA MAMELOD VIZURI NA MASHABIKI WAKAENDA NA BODA KUWASINDIKIZA HADI UWANJAN NA VIDEO ZIKACHUKULIWA ZIKASAMBAZWA AM SURE WATAPATA CHAKUSIMULIA....LAKIN WANAWEZA PELEKWA ZENJI BEFORE HAWAJAONDOKA WAKAONYESHWA VIVUTIO NIRAHISI KUWA MABALOZI WAZURI BADALA YA KUTUMIA MOVIE NA MTU HAJAFIKA TZ KABISA.ungetoa kaushauri na ufafanuzi kidogo
HILI WADAU LITAONGEZA USHAWISHI MKUBWA KWA TAIFA KILA NCHI ITACHAGUA TZ KUJA KUWEKA KAMBI BADALA YA KUKATAZA JEZI TUTENGENEZE ELA KUPITIA HILI,WIZARA IFANYE UBUNIFU TUMEONA MAMELOD WAMEKUA NA SHAUKU KUBWA KUJA...SASA MPIRA SIO KUPATA KOMBE TU LAKINI TUUTUMIE PIA KAMA USHAWISHI WA KILA TEAM KUTAMANI KUJA TZ ,UTALII UONGEZEKE KWA KIKI YA FANS WA MPIRA...TUMSAIDIE MAMA WIZARA YA MICHEZO KULETA WAWEKEZAJI VIA SPORT.LAKINI PIA UWEKEZAJI KWENYE MPIRA UTAONGEZEKA HAKUNA TAJIRI ATAKATAA KUWEKA ELA YAKE KWENYE BALL LA TZ..HENCE COMPETITION KWENYE TEAM ZETU NA MASLAHI MAKUBWA KWA WACHEZAJI WETU
Watu waende Zanzibar ilihali Wana game ya marudio immediatelyAFIKIRIE ZAIDI HII NIFURSA KUBWA KWA WATU WA BUNIFU ..SOCIAL MEDIA ZINAENDA VIRAL...WANGEWEZA PELEKWA ZANZIBAR BFR LEAVING AM SURE WIZARA INGEPATA WATU WABUNIFU HII NI FURSA KUBWA CZ MAMELOD WENYEW WANASHAUKU YA KUJA.
SAUDI ARABIA INATUMIA FEDHA NYINGI NOW KUVUTIA WATU KUJA NCHINI KWAO KUPITIA MPIRA.SISI TUMESHAJULIKANA KUA NUMBER MOJA KWA FANS LAST YEAR NI NGUVU KIDOGO TU ..TUTOKE TULIPO...MUNGU HAKUPI KILA KITU HATUNA INTERNATIONAL PLAYERS BAC TUTUMIE KILE MUNGU ALICHOTUPA YANI USHABIKIWatu waende Zanzibar ilihali Wana game ya marudio immediately
Tujifunze kuendesha mwendo Kasi kwanza
ALIKAMWE ALIFANYA UBUNIFU KWA MECHI YA YANGA KUWA KAMA PACOME ILIONGEZA MVUTO ZAIDI...SASA WIZARA INAWEZA TAFUTA NAMNA YAKUWAPOKEA MAMELOD VIZURI NA MASHABIKI WAKAENDA NA BODA KUWASINDIKIZA HADI UWANJAN NA VIDEO ZIKACHUKULIWA ZIKASAMBAZWA AM SURE WATAPATA CHAKUSIMULIA....LAKIN WANAWEZA PELEKWA ZENJI BEFORE HAWAJAONDOKA WAKAONYESHWA VIVUTIO NIRAHISI KUWA MABALOZI WAZURI BADALA YA KUTUMIA MOVIE NA MTU HAJAFIKA TZ KABISA.
Hahahahaha..ni ngumu kwa timu kufahivyo , ingawa wazo lake ni nzuriWatu waende Zanzibar ilihali Wana game ya marudio immediately
Tujifunze kuendesha mwendo Kasi kwanza
Mwenye akili kama hii Nani? Ndumbaro kichwa Wazi!!!ALIKAMWE ALIFANYA UBUNIFU KWA MECHI YA YANGA KUWA KAMA PACOME ILIONGEZA MVUTO ZAIDI...SASA WIZARA INAWEZA TAFUTA NAMNA YAKUWAPOKEA MAMELOD VIZURI NA MASHABIKI WAKAENDA NA BODA KUWASINDIKIZA HADI UWANJAN NA VIDEO ZIKACHUKULIWA ZIKASAMBAZWA AM SURE WATAPATA CHAKUSIMULIA....LAKIN WANAWEZA PELEKWA ZENJI BEFORE HAWAJAONDOKA WAKAONYESHWA VIVUTIO NIRAHISI KUWA MABALOZI WAZURI BADALA YA KUTUMIA MOVIE NA MTU HAJAFIKA TZ KABISA.
Kumsaidia mama ni kumshauri achukue hata machache na ayafanyie kazi - (Umeme, Gharama za Maisha, Ajira zenye Ujira n.k.).... Haya mengine atuachie tunaya-manage sababu akiingilia kuna uwezekano wa kupangiana timu za kushangiliaHili wadau litaongeza ushawishi mkubwa kwa taifa kila nchi itachagua Tanzania kuja kuweka kambi badala ya kukataza jezi tutengeneze ela kupitia hili, wizara ifanye ubunifu tumeona Mamelodi wamekua na shauku kubwa kuja.
Sasa mpira sio kupata kombe tu lakini tuutumie pia kama ushawishi wa kila team kutamani kuja Tanzania ,utalii uongezeke kwa kiki ya fans wa mpira. Tumsaidie mama wizara ya michezo kuleta wawekezaji via sport.
Hili wadau litaongeza ushawishi mkubwa kwa taifa kila nchi itachagua Tanzania kuja kuweka kambi badala ya kukataza jezi tutengeneze ela kupitia hili, wizara ifanye ubunifu tumeona Mamelodi wamekua na shauku kubwa kuja.
Sasa mpira sio kupata kombe tu lakini tuutumie pia kama ushawishi wa kila team kutamani kuja Tanzania ,utalii uongezeke kwa kiki ya fans wa mpira. Tumsaidie mama wizara ya michezo kuleta wawekezaji via sport.
ile branding ya AFRICAN FOOTBALL LEAGUE natamani tungeiga pale tukuze utalii wetuungetoa kaushauri na ufafanuzi kidogo