Serikali naomba muiangalie vizuri Mbezi Mwisho. Kuwe na mpangilio mzuri wa wafanyabiashara wadogo, daladala, bodaboda na bajaji

Yeah, pale panahitaji;

(1)soko jipya kubwa la kisasa,

(2) stendi ya bajaji na boda boda,

(3) kituo rasmi cha mabasi ya mwendokasi

(4) eneo la vyakula vya usiku yani wauza juisi, pweza chapati na supu hasa jioni vijana wengi mabachela wanaoishi goba, malamba mawili na kwengineko pale ndio mahala pao pa kula
 
Naam mkuu, sijui serikali wana mpango gani! ila ukweli ndio huo, panahitaji hivyo vyote kikubwa marekebisho tu ila ni sehemu nzuri sana la mapato ya nchi
 
hapo kwa awamu hii sijui kama litawezekana hilo ila ni kero sana vurugu ni nyingi hasa wakati wa usiku
 
Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni 🙌🙌
Mbezi ya 2010 - 2015 wakati watu wananunua viwanja mwaijua?

Enzi hizo sehemu ya kula bata ya maana ni luxury peke yake
 
hapo kwa awamu hii sijui kama litawezekana hilo ila ni kero sana vurugu ni nyingi hasa wakati wa usiku
Kwanini ishindikane?
Mbona vitu vyote vinavyohitajika pale ni vya gharama ndogo ikilinganishwa na ma miradi mikubwa ambayo serikali inatekeleza.

tena ni mradi wa kuboresha pale unatskiwa usimamiwe na manispaa ya Ubungo wala sio hata serikali kutokea Dodoma. Ni suala la watu wa wilaya ya Ubungo kufikisha hoja kwa mbunge na madiwani wao lifike kwenye halmashauri yao ya manispaa
 
hiyo stend haijaanza kulalamikiwa leo, ni zaidi ya mwaka na hakuna hatua yeyote iliyochukuliwa. Huko halmashauri wapo wale wale tu wa kufanana na awamu yao
 
Watu wa Ubungo watengeneze pia barabara Kibamba kwenda Hondogo, ni mbovu mno, ina mashimo balaa
 
Naam mkuu, sijui serikali wana mpango gani! ila ukweli ndio huo, panahitaji hivyo vyote kikubwa marekebisho tu ila ni sehemu nzuri sana la mapato ya nchi
Yaa na ni fursa kubwa iliyojitokeza baada ya uwepo wa stendi

Najua serikali ilikuwa haijapanga miuondombinu kuhudumia wafanyabiashara , hivyo kidogokidogo warekebishe Kwa kufuata maoni ya wafanyabiashara na pia maafisa mipango miji

Kazi iendelee
 
Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni [emoji119][emoji119]
Mbezi ya 2010 - 2015 wakati watu wananunua viwanja mwaijua?

Enzi hizo sehemu ya kula bata ya maana ni luxury peke yake

Sasa hivi pamoto sana-mbez kwanza kutoka mbezi kwenda town nusu saa tu
 
Kwanini ishindikane?
Mbona vitu vyote vinavyohitajika pale ni vya gharama ndogo ikilinganishwa na ma miradi mikubwa ambayo serikali inatekeleza.

tena ni mradi wa kuboresha pale unatskiwa usimamiwe na manispaa ya Ubungo wala sio hata serikali kutokea Dodoma. Ni suala la watu wa wilaya ya Ubungo kufikisha hoja kwa mbunge na madiwani wao lifike kwenye halmashauri yao ya manispaa

Inawezekana kweli lakini mpaka dk hii serikali wanapaangalia tu kibaya zaidi wanawafukuza wafanya biashara wadogo wadogo
 
hiyo stend haijaanza kulalamikiwa leo, ni zaidi ya mwaka na hakuna hatua yeyote iliyochukuliwa. Huko halmashauri wapo wale wale tu wa kufanana na awamu yao

Ni kweli mkuu- tukiendelea kupaza sauti watapaweka Sawa tu, tusinyamaze
 
Yaa na ni fursa kubwa iliyojitokeza baada ya uwepo wa stendi

Najua serikali ilikuwa haijapanga miuondombinu kuhudumia wafanyabiashara , hivyo kidogokidogo warekebishe Kwa kufuata maoni ya wafanyabiashara na pia maafisa mipango miji

Kazi iendelee

Naam mkuu, wakifanya hivyo itakuwa vizur sana
 
soko kubwa la kisasa hapana

1. rejea soko la ndugai, limekua hive la kufugia popo
2. soko la makumbusho, hive ya kufugia popo, wadau wanatoka makumbusho wanaenda lile la mapinduzi mwananyamala

Ni kweli mkuu, wanaweza wakatengenezewa na wakaliacha soko na kuondoka kutafuta pahala pengine?
 
Back
Top Bottom