mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,571
- 3,448
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nafahamu kuwa serikali ni mfumo ambao unaongoza na kusimamia rasilimali za nchi kwa maslahi ya wananchi lakini kumbe sikuwa sahihi kabisa... Nilijua siyo kweli kwa kuichambua serikali yangu ya Tamabora inayojidani kuwa inaniongoza.. Kwa kuangalia inachoahidi na inachotenda nikaja gundua kuwa ni tofauti kabisa.... Mfano waliniahidi kuwa nisome na nikishakuwa msomi nitakuwa na maisha mazuri... Kweli nikasoma mwishowe hakuna cha ajira wala maisha mazuri.... Tena wale ambao hawakusoma ndo wana maisha mazuri zaidi.... Wananiambia kuwa nilipe kodi ili nipate huduma bora.... Aise kodi hii haijanipa huduma yoyote ya maana... Kwan hata huduma nnazopata bado nalipa tena nalipa zaidi but serikali yangu ndo wanaishi vizuri na familia zao..... Serikali yangu inaniambia kuwa nitii sheria bila shuruti.... Lakin sheria hizi hzi ndo wanavunja wao.... Serikali inaniambia kuwa kilimo ndo uti wa mgongo... Lakini kilimo hakijapewa priority yoyote kukiboresha kuanzia research mpaka masoko tena ukikutwa unapeleka mazao yako nje utapata tabu sana.... Kilimo Kinatengewea bugdet finyu... Serikali yangu ya Nchi ya Tamabora.... Inachokielezea theoretically ni tofauti na practically........ Hivyo ndivyo serikali zoteeee duniani zilivyo ziko kwenye tu imagination tu.... Hata taasisi zake ziko kwa ajili ya kuilinda serikali yenyewe..... Mfano police wanailinda serikali kuliko mwananchi... Kama huamini hebu izungumzie vibaya serikali yako ndo utatambua ni jinsi gani inajilinda....
Hivi ndivyo nimegundua serikali ilivyo baada ya kuujua ukweli huu sasa nipo huru kwani hata agent wa serikali akija dukani kwangu kwa ajili ya masuala ya serikali nampatia anachokitaka bila maswali mengi kwani natambua kuwa amekuja kwa maslahi ya serikali yangu na nitakapomuuliza maswali ataishia kukasirika tu kwan yeye ni mjumbe tu wa serikali na amekuja kwa maslahi ya serikali so huwa namwacha afanye anachokitaka.
Chezea vyote lakini siyo serikali....
Serikali ni mfumo uliojizatiti kwelikweli unaojilinda kwa nguvu kubwa... Wewe kama ni mwananchi wa kawaida tambua kuwa wewe ni kama mtumwa na ni wajibu wako kuiheshimu na kuipa kila inachotaka serikali yako. Kwenye hili jukwaa la siasa mmekuwa mnailalamikia serikali yenu kwa kila kitu inachokifanya sababu kubwa ya nyinyi kufanya hivyo ni kwa sababu hamuifahamu serikali ni nini????? Sasa kaeni mkitambua kuwa serikali inafanya kazi for its own benefit na chochote itakachokinunua iwe ndege au ijenge hospital ni kwa ajili yake yenyewe na watu wake... Mfano ikinunua ndege siyo kwa ajili ya mlalahoi (hata kama itasema hvyo wewe kichwan mwako tambua kuwa inazuga tu)ila kwa ajili ya shughuli zake za kiserikali.
Pia itakapojenga hospital siyo kwa ajili ya maisha bora ya wewe mwananchi ila kwa ajili ya serikali...faida ya hospital kwa serikal kwanza itatoa ajira za kuzuga hata ikiajiri madaktari wawili tu inajipromo kuwa imefanya kazi kubwa kwelikweli.... Na itapata public mercy.pili hizi bima zinazokatwa kwenye mishaara kwa ajili ya afya ndo zinakotumikia..... (Kwa anayefahamu biashara ya bima atanielewa ni jinsi gani faida hupatikana especially kwenye bima za afya).
Jambo la jingine SERIKALI NI COOPERATION AMBAYO HUFANYA BIASHARA KAMA KAMPUNI TU.. tena serikali hufanya biashara bila hata kutumia nguvu ila akili.... Hebu fatilia kodi na malipo ya kumiliki gari.... Lets say umenunua toyota.jiulize haya maswali mawili je toyota aliyetengenza gari anachukua kiasi gani? Na serikali utawapatia kiasi gani? (kuna thread humu ina kichwa cha habari GARI NI NGOMBE WA SERIKALI Kumiliki gari Tanzania kumegeuka kuwa ng'ombe wa serikali) ukisoma hii thread utaelewa vyema jinsi serikali hufanya biashara kwa kutumia akili ndogo tu na kupata faida kubwa.
Pia SERIKALI NI TAJIRI. Hifadhi za wanyama, game reserves, mapori ya akiba yanachukua asilimia 34 ya ardhi ya nchi nzima... Kwa lugha nyepesi hiyo 34% ya hiyo ardhi ipo chini ya serikali yaani serikali ndo mmiliki halali wa eneo kubwa hvyo.... Maeneo yenye madini pia ni ya serikali just imagine... Wewe unamiliki kakiwanja ka meter 70x70 unajiona tajiri..serikali je
Note: serikali zetu ni kama majimbo ya roma empire tu (UNITED NATION).. Na mkuu wa serikali ni mwakilishi wa kaisari (13 bloodline family Who Lucifer Actually Is & Why They Are Here (Part 1)) nnachomaanisha hapa hata boss wa serikali na yeye pia anaboss wake mwenye nguvu na mwenye Power. Hebu jaribu kufikiria jambo dogo tu hivi deni la taifa kwanini ni kubwa kiasi hicho na kila mwaka wa fedha lazima liongezeke na tukope tena??? Wakati hata hatuoni kinachofanyika cha maana... Na ukumbuke kuwa tukikopa huko nje na huku ndani bado kodi inapanda tu. Tunakatwa kodi katika kila kitu.. Ukweli ni kuwa boss mkubwa hutumia fictious debt strategies wakielewa fika hatutaweza kulipa (masharti ya mkopo yanatiaga hasira ni vile tu ni siri) kwa hiyo inakuwa rahisi wao kupanga chochote kwa boss wa selikali yangu juu yetu...
Hii ndo serikali yangu inavyofanya kazi bila hasara na siku zinasonga