Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kila nikipita hapa soko la Karume huwa nashangaa sana jinsi kundi kubwa la wamachinga wanavyofanya biashara zao chini ya nyaya kubwa za umeme bila hofu yoyote, sehemu nyingi ambapo naona kuna nyaya za umeme mkubwa raia huwa wanasogezwa mbali kabisa, kwa nini hapa Karume hali ni tofauti??
Serikali, mamlaka ya soko na TANESCO timizeni wajibu wenu kabla ya kujivunza kwa vitendo
Serikali, mamlaka ya soko na TANESCO timizeni wajibu wenu kabla ya kujivunza kwa vitendo