Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
Hakuna usiri wala faragha katika mitandao ya kijamii au jukwaa la mtandao kwa ujumla.
Wakishindwa kupata mawasiliano yako katika mtandao fulani wanaupiga vita.
Mliona CEO wa Telegram amekamatwa kwa kutaa kutoa access kwa serikali kuwa wanaona chat za wateja wao.
Hii inanifanya niwaze uhusiano wa serikali ya Marekani na WhatsApp maana kama hawana ugomvi jibu ni kuwa wanasoma meseji zote.
Wanadai Telegram imeacha mtandao wake utumike na wahalifu bila wao kufanya kitu.
Swali, inafahamika duniani kuwa magari ya TOYOTA hasa pickup zake hutumiwa sana na waasi ma magaidi katika shighuli zao. Kwa nini wasimkamate CEO wa TOYOTA kwa magari yao kutumika na Waharifu?
Jibu ni kiwa yeye akiuza gari matumizi yake hayamuhusu, ilipaswa kuwa hivyo kwa hizi App pia kwamba mzalishaji hapaswi kujua watumiaji wanaongea nini. Ndio maana wakaweka end to end encryption.
Ikumbukwe Huyu CEO wa Telegram ni Genius wa hisabati na alianza programming akiwa mdogo sana. So Encryption zake sio za kitoto, wamejaribu kufungua wamesanda wameona watumie madaraka.