Doltyne
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 440
- 173
Mwenyewe unaweza kudhani una wazo zuuuuuuri na kujishebedua hapa jamvini bila kuangalia msingi wa kodi ni nini na nani hulipa kodi husika. Kama ulishani suala hilo litampunguzia mapato mwenye nyumba unajidanganya na jealous zako. Mwenye nyumba atakachofanya ni [(900,000 X 18) / 100] + 900,000 = 1, 062,000
Mara serikali itakaposikiliza maoni yako, hiyo ndio itakuwa kodi yako mpya.
Na mwenye nyumba naye atadaiwa P.A.Y.E baada ya serekali kujua anaingiza pato kiasi gani kwa mwaka. Sio mpangaji tu ndio atalipa kodi... Umezungumzia kodi moja tu hapo VAT, Kuna Property Tax, Withholding Tax, Land Rent, Kodi za halmashauri nk... Hii ni sekta iliyosahaulika kwakweli (huenda makusudi)