Hapo nyuma nilileta uzi wangu wa kuhusu kushuka kwa soko la papai lakini mods wakaunganisha na uzi mwingine,mimi kilio changu ni kile kile kama mkulima wa zao hili la papai,kumekua na changamoto kwenye mauzo baada ya mh.rais kutangaza kua vipimo vilibaini kwamba papai lina corona.Baada ya hapo baadhi ya watanzania ambao uelewa wao ni mdogo wameichukulia kauli ya mh.rais negativelly kwamba papai lina corona,hivyo ulaji wa papai umeshuka kabisa na kutusababishia sisi wakulima kukosa soko na kupata hasara kubwa.
Hivyo basi kuna umuhimu wa serikali kujitokeza tena na kuja kutoa maelezo ya kina juu ya papai kua postive,kama sio kweli yalikua makosa ya vifaa basi iwaweke sawa watanzania ili biashara iendelee na watanzania tuendelee kujipatia kipato,kuepuka hasara na kufilisiwa na mabank ukizingatia wakulima wengine tulichukua mikopo bank