Serikali oneni aibu kwenye suala la umeme uwanja wa Benjamin Mkapa

Serikali oneni aibu kwenye suala la umeme uwanja wa Benjamin Mkapa

zimmerman

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
1,644
Reaction score
3,176
Hivi umeme kukatika Benjamin Mkapa Stadium mbele ya halaiki ya dunia mnaona ni suala la kawaida? Embu oneni aibu bhana kama raia wa kawaida tunavyoona aibu.

Mnakimbilia kuitangazia dunia ije kuwekeza Tanzania, ije kuitembelea Tanzania, wakati hatuwezi kufix vitu vya kawaida tu kama umeme thabiti kwenye jiji linaloitambulisha Tanzania kiuchumi? Mnatuma ujumbe gani katika dunia ya uwekezaji na utalii?

Dah!
 
Hivi umeme kukatika Benjamin Mkapa Stadium mbele ya halaiki ya dunia mnaona ni suala la kawaida? Embu oneni aibu bhana kama raia wa kawaida tunavyoona aibu. Mnakimbilia kuitangazia dunia ije kuwekeza Tanzania, ije kuitembelea Tanzania, wakati hatuwezi kufix vitu vya kawaida tu kama umeme thabiti kwenye jiji linaloitambulisha Tanzania kiuchumi? Mnatuma ujumbe gani katika dunia ya uwekezaji na utalii?

Dah!
Walitegemea ushindi wa Taifa Stars utawapa kivuli Cha kujifichia ila wapi,
 
binafsi sielewi kinacho endelea Tanesco ni HUJUMA au Nini?!!!!

narudia kusema uchunguzi ufanyike kuna baadhi ya watendaji hawana nia njema na Serikali, lengo lao ni kuwachonganisha wananchi na Serikali Yao, tunaomba hao vidudu mtu watolewa haraka wanahujumu uchumi wa nchi.
 
Januari na mwenzake maharage wanafanya kazi kwa kutegemea fadhila za godmother hivi unategemea uone uwajibikaji hapo?
Hivi hao wataalamu wa TANESCO wanaweza kulielezaje hili suala la kukatika umeme katika uwanja wa Mkapa?

Katika nchi inayofuata utawala Bora, akina January Makamba na mwenzake Maharage Chande, inabidi wawajibuke mara moja

Wakigoma kuwajibika, inabidi aliyewateua, Rais Samia awafute kazi Kwa kulisababishia aibu kubwa Taifa letu, Kwa kuwa tumeendelea kuweka historia mbaya, Kwa kuwa ni Taifa la kwanza, kutokea aibu ya aina hii, ya kukatika Kwa umeme katika uwanja mkubwa kama huo wa Mkapa, kukatika umeme!😎
 
Januari na mwenzake maharage wanafanya kazi kwa kutegemea fadhila za godmother hivi unategemea uone uwajibikaji hapo?
Lazima tufikirie maafa ambayo yangeweza kutokea katika janga hilo la kukatika Kwa umeme katika uwanja wa Taifa wa Mkapa

Kutokana na hali hiyo ya kutisha, inabidi January Makamba na mwenzake Maharage Chande inabidi wawajibike
 
binafsi sielewi kinacho endelea Tanesco ni HUJUMA au Nini?!!!!

narudia kusema uchunguzi ufanyike kuna baadhi ya watendaji hawana nia njema na Serikali, lengo lao ni kuwachonganisha wananchi na Serikali Yao, tunaomba hao vidudu mtu watolewa haraka wanahujumu uchumi wa nchi.
Sio watendaji Bali ni serikali yenyewe imezembea.

Haiingii akilini serikali kutoa ruzuku wakati umeme umepanda Bei sana . Wakati wa JPM Tanesco walitoa gawio SERIKALINI na umeme ulikua Bei chee . Leo umeme Bei juu wanapewa ruzuku badala ya kutoa gawio lakini Bado umeme unakatika katika bila sababu za msingi. Watu wameamua kufanya wanavyotaka mana wanajua ni wakati wa Kupiga. Watendaji siku zote wanaangalia upepo na aina ya Waziri. Ukiweka Waziri Kwa hisani jamii inaona na watendaji wanaona.

Lakini ukiweka Waziri Kwa ajili ya kazi na ukampa maelekezo lazima watendaji wafanye kazi kwa bidii mana wanaona hakuna ubabaishaji.

JPM umeme ukikatika masaa matano bila sababu za msingi alikua anatumbua mtu.
Watumishi wa umma au wafanyakazi kwenye idara yoyote hata shirika au kampuni ya mtu binafsi bila kuwajibisha watu hakuna kazi inayofanyika zaidi ya ujanja ujanja wa Kupiga .

Usione makampuni ya Wahindi au wachina hayafislisiki wakati ya umma yanakufa kabisa na Bado yanapewa ruzuku ni Kwa sababu hawakubali kuibiwa au kudanganywa au uzembe au kuhukumiwa na wafanyakazi wa ndani.

Mashirika Mengi ya Serikali yapo Kwa sababu ya kukosa ushindani lakini hayakupaswa kabisa kuwepo mana yanalitia hasara Taifa na kuwaumiza wananchi. Mfano Tanesco ingekua na ushindani nadhani ingekua imekufa kifo Cha mende miaka mingi. Ukiwauliza wanasema ni sekta muhimu lakini sio kweli Bali Lile ni kichaka Cha kupitisha madili na pesa Kwa watu. Wanarithishana wizi mkubwa.

Karne hii yenye sayansi ya umeme wa Jua na upepo lakini nchi iliyoko ukanda wa Jua inashindwa kuzalisha umeme wa kutosha . Watu wanawaza miradi ya umeme isiyoendelevu ili waendelee kuiba kupitia Shirika Hilo lenye historia ya ubadhirifu mkubwa wa Fedha.
 
Hivi umeme kukatika Benjamin Mkapa Stadium mbele ya halaiki ya dunia mnaona ni suala la kawaida? Embu oneni aibu bhana kama raia wa kawaida tunavyoona aibu. Mnakimbilia kuitangazia dunia ije kuwekeza Tanzania, ije kuitembelea Tanzania, wakati hatuwezi kufix vitu vya kawaida tu kama umeme thabiti kwenye jiji linaloitambulisha Tanzania kiuchumi? Mnatuma ujumbe gani katika dunia ya uwekezaji na utalii?

Dah!
Labda Kuna shida za Taa maana kama ni umeme upo wa generator na WA Tanesco..

Meneja wa uwanja ashughulikiwe kama hakuna maelezo toshelezi but Changamoto kama hizi hutokea sio uwanja Wetu tuu hata Afcon iliyopita niliona kwenye uwanja mmjawapo.
 
Labda Kuna shida za Taa maana kama ni umeme upo wa generator na WA Tanesco..

Meneja wa uwanja ashughulikiwe kama hakuna maelezo toshelezi but Changamoto kama hizi hutokea sio uwanja Wetu tuu hata Afcon iliyopita niliona kwenye uwanja mmjawapo.
Hakuna maelezo toshelevu yanayoweza kutolewa kuelezea kadhia na aibu hii. Meneja wa uwanja awe fired mara moja. Serikali ilione suala la kukatika kwa umeme kama jambo la dharura na la aibu kutokea. Jinsi watawala na mamlaka husika wanavyoonekana kutoshtushwa na umeme kukatika ovyo ovyo ni kitu kinachoshangaza kwa kweli.
 
Hivi hao wataalamu wa TANESCO wanaweza kulielezaje hili suala la kukatika umeme katika uwanja wa Mkapa?

Katika nchi inayofuata utawala Bora, akina January Makamba na mwenzake Maharage Chande, inabidi wawajibuke mara moja

Wakigoma kuwajibika, inabidi aliyewateua, Rais Samia awafute kazi Kwa kulisababishia aibu kubwa Taifa letu, Kwa kuwa tumeendelea kuweka historia mbaya, Kwa kuwa ni Taifa la kwanza, kutokea aibu ya aina hii, ya kukatika Kwa umeme katika uwanja mkubwa kama huo wa Mkapa, kukatika umeme![emoji41]
Acha umeme, vyoo tu stand ya Magufuli imeshindikana mpaka vimefungwa kisha hakuna maji, are these guys serious? Stand ya kimataifa kweli? Au kwa kuwa ina jina la mwendazake wameamua kuichukia? Kuna haja ya jambo fulani kufanyika.

Sasa abiria, maajenti, madereva na wafanyabiashara wanakunya na kukojoa wapi?

Inafikirisha kwa kweli.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
AFRICA’S BIGGEST CHALLENGE
Taken from the internet. (Document written by the former CEO of BRS, now ORABANK)

I used to criticize African companies like Dangote Group for hiring so many Indians when there are many unemployed Africans, but now I understand their painful decision.

The biggest challenge in our manufacturing businesses is neither power nor infrastructure: the biggest challenge is getting honest staff.
Everyone we hire seems to be on a mission to steal: many inflate invoices as much as possible and record less than the actual number of units produced.

The worst part about this is that all the fraud we have uncovered is not committed by one person. It is usually many staff members colluding with each other, from production to sales and accounting. This includes management members.

I had to review my management staff 3 times in one year. It got so bad at one point that my main criteria for hiring staff were no longer competence or degrees, but honesty. The skills and abilities can be acquired, but once you are dishonest, you are beyond repair.

Imagine if Africa’s biggest challenge was off the table…
We always complain about the economy and the fact that there are no jobs. I know people abroad who would love to start job-creating businesses in Africa but can’t because they can’t get someone they trust to run it.

I know people in Africa with so much money, who’d want to start factories and other job-creating businesses, but they can’t because they are busy elsewhere and can’t get someone, they trust enough to run the business. So instead of investing in fruitful sectors and creating jobs, such people buy treasury bills, while the thieves scream no jobs or food.

I am convinced big African organizations like Dangote Group can set up shops in any African country and therefore create millions of jobs. However, I bet corruption and dishonesty at the top of government is what keep them from helping Africa.
Africa would birth many great companies if we could engage in partnerships, but we can’t because no one can be trusted.

This is an advantage that the Indians and Lebanese have over us, inhabitants of Africa. They can pool resources and do mega-businesses, unlike Africans. Since we can’t partner, one person has to do everything. As a result, we end up with small and very small businesses in Africa.

This also concerns siblings. The closing down of super stores in East Africa (which could’ve become the African Walmart) is a great example of why siblings can’t do business together.

Typical examples of theft in business in Africa
Start a poultry farm and employees steal your eggs. Some will even go ahead and kill the chickens so they are allowed to take them home.

Start an entertainment/viewing/gaming center and they will pocket your money. On the days you are on the premises, the money made will be ten times more than when you are not there. Because they are spending your money and eating their future.

Buy and lease a vehicle to a driver, and watch as they finish you off.

Start a restaurant, and the same thing will happen. More than half of the total food ingredients will end up in their personal kitchens.

Even ordinary grocery stores or kiosk attendants will find a way to steal from small investors.

Worst of all: they even dare quoting their perversity by saying, “if you can’t beat them, join them!“
Imagine them justifying stealing at work, killing their own jobs and the development of Africa.
You will witness such employees pointing their twisted fingers at politicians when they are no different.

I believe that the reason most Africans have not stolen billions of government money is simply because of the lack of opportunity.

Development with dishonesty is impossible
To the few honest Africans, both in government and in the private sector, who are considered as stupid: You are not stupid. You are exactly what Africa desperately and painfully needs.

How are we going to evolve when those who are supposed to oversee and manage stores, kiosks, supermarkets, factories, schools, hospitals, waterworks, road construction, street cleaning, power plants, bus fleets, parking collections, building construction, etc., are the ones who conspire to steal from small local investors, large local investors, governments and foreign investors?

By what means will we develop ourselves when our school principals are the ones plotting to steal school supplies, school fees and school food from the canteens, etc.?
How can we improve when our hospital officials are the ones who plot to steal medicine, beds, sheets, blankets, food, consultation fees, etc.? How? Indeed, how?

Our beloved continent is mourning.

How can Africa grow when the officials responsible for ensuring and enforcing standards and reducing cost estimates, are the ones conspiring with local and foreign contractors to inflate costs and reduce work standards in order to steal public money for their personal gain?

At all levels, Africans are Africa’s problem.
Honesty starts from the leadership
In my opinion, the reason why Rwanda is a rising star in Africa is that Rwandans and foreign development partners and investors know that the country’s top leadership cannot accept dishonesty in both the public and private sectors. We must replicate such leadership standards continent-wide.
Imagine we had 54 Paul Kagame as the head of all African countries!!! No wonder the so-called Western countries do not want that, as they know that Africa would be FIRST within 10 years.

We Africans need to wake up and rethink Africa.

Regardless of the jobs – from the sweeper to the craftsman, the salesman, the storekeeper, the driver, the tea or coffee or flower picker, the purchasing manager, the head of the governor, the nurse, the doctor, the cook, the painter, the builder, the senator and the minister – Africans must be honest for the sake of Mother Africa.

By being dishonest, we violate our beloved Africa. Foreign elements know and are very well aware of our dishonesty. So they come to Africa to steal our vast natural resources mercilessly and give a few crumbs of bread to those Africans in charge of running our countries. All this is at the great expense of our development and self-sufficiency.

Who will save us from ourselves?

Africa can rise again.
Let Africa rise.
Stand up and be counted as a people. It is time to CHANGE…

Karim KONE, former CEO of BRS (now ORABANK) Burkina
 
Yaan umesikia tu taarifa kwa watu ukakimbia kuja kuweka uzi hapA

hIlo tatzo la jana halikuwa la Tanesco,umekurupuka
We vipi?
Kama huoni shida kwenye hili suala la umeme kukatika kwenye Stadium ya taifa mbele ya halaiki ya dunia inadhihirisha kina cha urefu wa tatizo tulilo nalo. Iwe shida ni TANESCO au siyo TANESCO ni aibu kwa taifa umeme kukatika uwanja wa taifa wakati mechi ikiendelea.
 
Hivi umeme kukatika Benjamin Mkapa Stadium mbele ya halaiki ya dunia mnaona ni suala la kawaida? Embu oneni aibu bhana kama raia wa kawaida tunavyoona aibu.

Mnakimbilia kuitangazia dunia ije kuwekeza Tanzania, ije kuitembelea Tanzania, wakati hatuwezi kufix vitu vya kawaida tu kama umeme thabiti kwenye jiji linaloitambulisha Tanzania kiuchumi? Mnatuma ujumbe gani katika dunia ya uwekezaji na utalii?
Kwani umeme ulikatika? Mbona mimi sikuona? Nilichoona ni umeme kucheza kidogo ukasababisha baadhi ya taa kuzimika ingawa zingine ziliendelea kuwaka. Kwa nature ya hizo taa, huwa zikizima zinawaka taratibu sana. So ilibidi wazisubiri ziwake kabisa zote ndipo mechi iendelee. Lilikuwa ni tatzo la kiteknolojia tu. Tusipende kuchukulia kila kitu negative kila siku. Mbona mechi za ligi za usiku mmekuwa mkiziangalia kwa miaka yote bila matatizo?
 
Kwani umeme ulikatika? Mbona mimi sikuona? Nilichoona ni umeme kucheza kidogo ukasababisha baadhi ya taa kuzimika ingawa zingine ziliendelea kuwaka. Kwa nature ya hizo taa, huwa zikizima zinawaka taratibu sana. So ilibidi wazisubiri ziwake kabisa zote ndipo mechi iendelee. Lilikuwa ni tatzo la kiteknolojia tu. Tusipende kuchukulia kila kitu negative kila siku.
Mimi ni mtu positive sana. Yapo mambo mengi ya hovyo yanayodhihirisha incompetence ya watu wetu wenye mamlaka na watendaji wao lakini nayavumilia tu cause niliazimia kutojisumbua kichwa kwa vitu vilivyo juu ya uwezo wangu kusolve. Lakini kwenye swala la hicho unachokiita "umeme kucheza kidogo" na kusababisha mechi isiendelee kuchezwa kilituma wrong signal kwa watu wanaojinasibu kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji Tanzania. Kuvutia uwekezaji, sijui utalii, bila kujipanga kuwa na umeme wa uhakika ni michezo ya kuigiza. Embu kuweni serious japo kidogo dah!
 
Back
Top Bottom