Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama za maisha zimepanda na ushahidi ni wabunge wetu ambao wamekataa 300000 kwa siku, wanafunzi wanapewa 7500 kwa siku haitoshi hivyo serikali pandisheni mpaka 15000 ili vijana wetu wasome kwa amani.