Serikali please huyu mama atendewe haki, Dorothy Gwajima na waziri wa katiba na sheria ,mna kazi ya kufanya hapa

Serikali please huyu mama atendewe haki, Dorothy Gwajima na waziri wa katiba na sheria ,mna kazi ya kufanya hapa

Upekuzi101

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
221
Reaction score
542
Kuna tatizo kubwa hapa, haiwezekani ajali tu ifanye huyu mama anyanyasike na watoto wake. ATENDEWE HAKI tafadhali. Haya ndo matatizo halisi mnayopaswa kuyasikiliza na kuyatolea ufumbuzi wa HAKI kabisa.
 
Sijaelewa hapa!
Lakini Msaada wa kisheria unahitajika!
 
Wataalamu wa sheria, mtusaidie, mtuelimishe hapa, hili jambo limekaaje?

Ajali, mpaka hapo ilipofikia, ni kweli ndio utaratibu na sheria...kesi ya namna hiyo huwa inakuaje?

Taarifa za awali za polisi hazina mchango hapo?

Insurance, kama ilikuwepo, ina mchango gani hapo?

Waliogongwa, walikuwa kwenye chombo kingine au la, sijasikia, lakini wajuvi mnaweza kutujuza kwa mazingira yote mawili, muelekeo sahihi wa kesi kwa mujibu wa sheria, unapaswa kuwa vipi?

Kweli, nyumba inapaswa kuuzwa?
 
Back
Top Bottom