Serikali sasa taabani, wanafunzi vyuo vikuu kutolipwa pesa zao.

Bajeti ilishatengwa, imekuaje wamemega hilo fungu?. Inavyosemekana wali-double budget.

budget inapotengwa haimaanishi fedha zipo zinamsubiri mtumiaji! tz bado hatujafikia huko.
 
Natamani UD wacheleweshe waendeleze ubabe wao wa kufukuza wote ........sijui kama UD kunakusubiri hata siku mbili. Serikali na mafisadi wake kwanini kila siku tunasema mafisadi wako wapi?
 
Natamani UD wacheleweshe waendeleze ubabe wao wa kufukuza wote ........sijui kama UD kunakusubiri hata siku mbili. Serikali na mafisadi wake kwanini kila siku tunasema mafisadi wako wapi?

tena na hvi wengne tunarudi tukiwa hatuna hata pesa ya kula cku 3,kitaeleweka 2 mkuu!
 
kweli TANZANIA ni inji ya kusadikika!
 
Kuna ishu nyingine ni very serious.. Cjui nchangie nn hapa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…