Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mkuu, na wewe unaamini Zahera ametangulia DRC kwenda kuiandaa timu ya taifa?...Kocha msaidizi anatakiwa atangulie Congo kwenye kambi kwaajiri ya maandalizi maana next week wana mechi.
Mkuu, na wewe unaamini Zahera ametangulia DRC kwenda kuiandaa timu ya taifa?
Huna mamlaka na mkataba wake hausemi asikutane na wapinzani wa Simba.Tunampokonya working permit mpuuzi huyu
Pumba.vu sana.Lickongo lingine hili hapa.Wewe ni bonge la mbumbumbu! Mnashindwa kushughulika na maandaalizi ya mechi yenu mnakimbilia mambo yasiyo natija, Zehera ni mkongo na vita ni ya Kongo muacheni afanye anavyotaka kwanza hajaajiriwa na simba. Mipango yenu ya kuihujum vita nje ya uwanja imeshindwa mnatafuta pakusingizia ..kesho mtanuna zaidi maaaaanina zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kuna maneno siyaoni vizuri, hebu nirudie kusoma:Sijasema ametangulia nimekuambia anahaki ya kukutana na kocha mkuu wake,
Kocha wa As Vita ni kocha mkuu wa timu ya taifa LA Congo, yupo nchini. Kocha msaidizi anatakiwa atangulie Congo kwenye kambi kwaajiri ya maandalizi maana next week wana mechi.
Yaani asiende wakabadilishane mawazo na kocha mkuu kisa Simba? Acha upopoma.
Barafu la moto
Huyu ameshindwa namna ya kuondoka Yanga yenye ukata wa fedha. Anataka afanyiwe vitimbwi na mashabiki wa Simba ili iwe sababu ya yeye kuiacha Yanga. Kwa ufupi alikuwa anawahimiza wachezaji wake wasiondoke Yanga kwa kutolipwa mshahara, ila sasa ameona yeye akiondoka kwa sababu hizo atakuwa amesaliti kile alichowahimiza wachezaji wake. Kwa hiyo ametafuta mbinu ili aseme ameondoka nchini kwa kuhofia usalama wake, lakini ukweli ni kukosa mshahara ndio kunamkimbiza
Nimesema atasingizia anaondoka kwa sababu za kiusalama, kumbe anakimbia ukataHahahah hujui hata unachokisema,alisema anaondoka kwasababu za kiusalama?
Unaongea utadhani una unasaba na Herode, kumbe Mbumbumbu fulani tu, mkaazi wa Buguruni Malapa πππTukimalizana Na VITA tunafuta Kibali Cha Kazi kwa Mamluki yoyote alieshirikiana Na Adui
Labda kuna maneno siyaoni vizuri, hebu nirudie kusoma:
Na wenyewe wataanza kutumia bandari ya Mombasa..nani ataumiaTunampokonya working permit mpuuzi huyu
You must be out of your miserable mind.Huyu ameamua kusaliti watanzania waliomweka hapa nchini. Tunaweza wasamehe watanzania ambao ni yanga wanaoisaidia AS Vita lakini hatuwezi samehe mkongo anayekula pesa za Watanzania anayewasaidia AS Vita.
Hata ingetokea kocha wa simba akasema aisaidie team ya nchi yake il hali anaishi tanzania anatumia kodi za watanzania angeshughulikiwa tu.
Zahera amevuka mipaka....nadhani aoneshwe mwisho wa mipaka yake ni wapi. Otherwise tukizidi kucheka na nyani tutavuna mabua. Sheria ichukue mkondo wake katika hili.
Wana msimbazi wanawayawaya, tayari wameshapoteeza focus mchezoni, wanamfocus ZaheraKocha wa As Vita ni kocha mkuu wa timu ya taifa LA Congo, yupo nchini. Kocha msaidizi anatakiwa atangulie Congo kwenye kambi kwaajiri ya maandalizi maana next week wana mechi.
Yaani asiende wakabadilishane mawazo na kocha mkuu kisa Simba? Acha upopoma.
Barafu la moto