Serikali sitisheni ajira za walimu wa leseni(vodafasta) ni kero mashuleni

Serikali sitisheni ajira za walimu wa leseni(vodafasta) ni kero mashuleni

issa ramadhani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
1,319
Reaction score
260
naiomba serikali kupitia TAMISEM na wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi isitishe ajira za walimu wa leseni walioajiriwa mwaka 2006 na 2007 kwa lengo la kuongeza ufanisi katika shule za kata.

kiukwel shule nyingi za kata zimekuwa na walimu wengi wa diploma na digrii.walimu hawa wa diploma na digrii wanauwezo mkubwa na ufanisi wao pia ni mkubwa sana katika maswala ya elimu kuliko walimu wa leseni.

walimu wa lesen kutokana na uelewa wao mdogo wamekuwa wakiwapotosha wanafunzi na hata kutokujua maadili na miko ya ualimu kisaokolojia yakoje.walimu hao wamekuwa chanzo cha migogoro mingi mashuleni na walimu wenzao kwa sababu hawajui education management ikoje.

walimu hao wamekuwa hawafundishi inavyotakiwa kulingana na syllabus ilivyo kwa sababu hawajajifunza ni jinsi gan utafundisha kufuatana na syllabus.kwa haya machache naiomba serikali isitishe ajira kwa walimu hawa wa leseni. naomba kuwasilisha hoja
 
Wakati we unawaza hilo...wenzio wanawaza kusitisha ajira za walimu wa masomo ya arts "poor planning" inafanya wa-introduce vitu ka clash programme badae kwa ukosefu wa walimu kitu ambacho kinasababisha kushuka kwa kiwango cha elimu, so unachoongea nakuelewa sana ila hao unaowaita "vodafasta" bado watakuja wengi tu baada ya implementation ya kuacha kuajiri
 
Acha umbeya hamna walimu wa vodafasta kwa sasa, wengi leseni zao, ziliexpire Kuanzia 2010 hadi 2012 coz, zilikuwa leseni za miaka 4 tu!, na wengi walienda vyuoni au walisoma Open coz open Ilikuwa bure kwao!! Acha kukurupuka ka unaoga nje
 
Walimu wa lesseni wote walishajiendeleza kimasomo usipotoshe watu.
 
Wapi huko mkuu, kuna walimu wa leseni?
kama wapo huko kwenu basi peleka malalamiko kwa waajiri wao kwani leseni zao zilikuwa na muda wa kuisha.
 
Ivi mwalimu wa leseni na na asiye na leseni wanatofauti gani utumishi? Mwenyekujua aniambie mana uwa nashindwa kutofautisha nachojua ni wa leseni kafundishwa muda mfupi uyu mwingine muda mrefu ila utumishi wote ni walimu na wapo sawa
 
Acha umbeya hamna walimu wa vodafasta kwa sasa, wengi leseni zao, ziliexpire Kuanzia 2010 hadi 2012 coz, zilikuwa leseni za miaka 4 tu!, na wengi walienda vyuoni au walisoma Open coz open Ilikuwa bure kwao!! Acha kukurupuka ka unaoga nje

nenda mbweni sekondari ambayo ipo bunju manispaa ya kinondoni, utawakuta, makamu mkuu wa shule ni wa leseni na anaitwa mr mjawa, mwalimu wa taaluma ni leseni anaitwa mr emmanuel na mwalimu wa nidhani ni wa leseni anaitwa robert felix.

pia hata staff yao imejaa walimu wa leseni,diploma ni wachache na digrii ni wachache sana.pia nenda mbweni teta sekondari,bunjua a sekondari na hata boko au kondo sekondari zote zipo manispaa ya kinondoni hao walimu utawakuta
 
Walimu wa lesseni wote walishajiendeleza kimasomo usipotoshe watu.

fanya utafiti katika shule za sekondari manispaa ya kinondoni halafu utapata jibu.mfano mzuri ni makamu mkuu wa shule mbweni sekondari ni clash program
 
Ivi mwalimu wa leseni na na asiye na leseni wanatofauti gani utumishi? Mwenyekujua aniambie mana uwa nashindwa kutofautisha nachojua ni wa leseni kafundishwa muda mfupi uyu mwingine muda mrefu ila utumishi wote ni walimu na wapo sawa

mwl wa leseni sio tu anapokea mshahara 80% ya mshahara wa mwalimu wa diploma,pia hana TSD namba, hapandi daraja la mshahara kama wengne wanavyopanda mara baada ya miaka mitatu, hana barua rasmi ya kuthibitishwa kazini,haruhusiwi kusimamia mitihani ya taifa,haruhusi kwenda kusaisha mtihani wa taifa na pia haruhusiwi kushika nyadhifa kubwa mashuleni kama kuwa mkuu wa shule
 
mwl wa leseni sio tu anapokea mshahara 80%,pia hana TSD namba,hapandi daraja la mshahara kama wengne wanavyopanda mara baada ya miaka mitatu,hana barua rasmi ya kuthibitishwa kazini,haruhusiwi kusimamia mitihani ya taifa,haruhusi kwenda kusaisha mtihani wa taifa na pia haruhusiwi kushika nyadhifa kubwa mashuleni kama kuwa mkuu wa shule

Asante kwa taarifa mkuu, pia labda unisaidie hii utumishi wanawachukulia kama waajiriwa na wanawapa check No. Kama walimu wengine? na pia kuwa mwl leseni unaitaji kufanya nini, na kama miaka mitatu ikiisha ujajiendeleza ndo unafutwa? Kwa maelezo yako hapo juu ni kama vile uyu sio mwl kabisa
 
nenda mbweni sekondari ambayo ipo bunju manispaa ya kinondoni,utawakuta,makamu mkuu wa shule ni wa leseni na anaitwa mr mjawa,mwalimu wa taaluma ni leseni anaitwa mr emmanuel na mwalimu wa nidhani ni wa leseni anaitwa robert felix.pia hata staff yao imejaa walimu wa leseni,diploma ni wachache na digrii ni wachache sana.pia nenda mbweni teta sekondari,bunjua a sekondari na hata boko au kondo sekondari zote zipo manispaa ya kinondoni hao walimu utawakuta

Unataka cheo tu,huna lolote.Serikali ilianzisha mfumo wa kutoa release kwa walimu wa leseni ili wakachukue degree au diploma.na hata hao wanatakiwa waende kusoma,lakini serikali haiwezi kufuta walimu wa leseni tayari wana experience hao na walikuta hizo shule hazina walimu,sio kwasababu umekuja wewe basi wengine wafutwe.
 
naiomba serikali kupitia TAMISEM na wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi isitishe ajira za walimu wa leseni walioajiriwa mwaka 2006 na 2007 kwa lengo la kuongeza ufanisi katika shule za kata.kiukwel shule nyingi za kata zimekuwa na walimu wengi wa diploma na digrii.walimu hawa wa diploma na digrii wanauwezo mkubwa na ufanisi wao pia ni mkubwa sana katika maswala ya elimu kuliko walimu wa leseni.walimu wa lesen kutokana na uelewa wao mdogo wamekuwa wakiwapotosha wanafunzi na hata kutokujua maadili na miko ya ualimu kisaokolojia yakoje.walimu hao wamekuwa chanzo cha migogoro mingi mashuleni na walimu wenzao kwa sababu hawajui education management ikoje.walimu hao wamekuwa hawafundishi inavyotakiwa kulingana na syllabus ilivyo kwa sababu hawajajifunza ni jinsi gan utafundisha kufuatana na syllabus.kwa haya machache naiomba serikali isitishe ajira kwa walimu hawa wa leseni. naomba kuwasilisha hoja

we mleta mada unalako jambo.sasa udom wanachukua form 4.kusomea ualimu .waje kuwa walimu wa sekondari.acha kuwaandama crash tanzania kunaelimu.
gan?
 
we mleta mada unalako jambo.sasa udom wanachukua form 4.kusomea ualimu .waje kuwa walimu wa sekondari.acha kuwaandama crash tanzania kunaelimu.
gan?

bora form four ataenda kusomea ualimu na kuwa mwalimu kuliko form six akawa mwalimu bila kusomea ualimu.tatizo la mtu sio kukaa kazini mda mrefu bali je kazi hiyo amesomea.

ukaaji wa kazini sio tija ualimu sio non formal education kama uganga wa kienyeji na kama ndo hivyo wengi wangekuwa wakifundisha mashuleni.ualimu si kuvaa vizuri na kufundisha, ualimu una maadili yake na hauwezi kuyajua mpaka usomee.shida si kuwa na walimu ili mradi mwalimu bali je huyo mwalimu ana ethics za ualimu.

siwezi kuwa daktari au mgawa dawa na wakati sijasomea hicho kitu.TAALUMA ZA WATU ZIHESHIMIWE.hawa clash waamriwe wakasome mara moja na kama si hivyi tutakuwa tujichimbia kaburi la elimu bila sisi kujua na kuishia kusifia ooh kenya wanamfumo mzuri wa elimu, kumbe hata sisi tanzania tunaweza tukaboresha na kuwa na mising mizuri
 
usichongee wenzie

watanzania siwaeli kiukweli,leo matokeo ya watoto wenu yakiwa mabaya mnasema walimu hawafundishi, lakini je mfumo na aina ya walimu mlio nao wanatoa kile wanachokifaham, je njia stahiki za ufundishwaji zinafuatwa?

nani anaetetea kwa hili?je wanaofundishwa wanafundishwa aliejuzwa huo ujuzi au amebaka fani tu.mwalimu sio darasan tu ndugu zangu, ualimu ni nje ya darasan na nje ya kufundisha.

teaching is a proffesion bhana,sio kipaji hicho kama kuigiza.lazima usomee na ndipo uweze kudeliver material.kwa wasiojua a good teache is that from the management and not from students.proffesion ya mtu iheshimiwe
 
nenda mbweni sekondari ambayo ipo bunju manispaa ya kinondoni,utawakuta,makamu mkuu wa shule ni wa leseni na anaitwa mr mjawa,mwalimu wa taaluma ni leseni anaitwa mr emmanuel na mwalimu wa nidhani ni wa leseni anaitwa robert felix.pia hata staff yao imejaa walimu wa leseni,diploma ni wachache na digrii ni wachache sana.pia nenda mbweni teta sekondari,bunjua a sekondari na hata boko au kondo sekondari zote zipo manispaa ya kinondoni hao walimu utawakuta

Acha majungu!! Wewe na kadegree kako ka chuo cha Kata, Ajira ya juz! Unataka vyeo?? Tulia wewe unajuaje labda wamesoma Open??

Wewe unataka vyeo!! Na kwa majungu haya! Utaishia Ualimu wa darasa na zamu!! Mitihani, semina, utaiskia kwenye bomba.

Tulia fanya kazi muda wako utafka acha papara
 
Unataka cheo tu,huna lolote.Serikali ilianzisha mfumo wa kutoa release kwa walimu wa leseni ili wakachukue degree au diploma.na hata hao wanatakiwa waende kusoma,lakini serikali haiwezi kufuta walimu wa leseni tayari wana experience hao na walikuta hizo shule hazina walimu,sio kwasababu umekuja wewe basi wengine wafutwe.

Hao Walimu wa Leseni ndo wamezifikisha shule za Kata, Ajira ya juz na kadegree kake hata Log book hajui kujaza analeta nakuzi
 
hii ni chuki binafsi tu. alafu si jambo la busara kutaja majina ya hao watu. kama umekosa nafasi ya u-second master nenda ngende kuna waganga wa ukweli, katambike nawewe upewe hivyo vyeo visivyo na hela
 
mwl wa leseni sio tu anapokea mshahara 80% ya mshahara wa mwalimu wa diploma,pia hana TSD namba,hapandi daraja la mshahara kama wengne wanavyopanda mara baada ya miaka mitatu,hana barua rasmi ya kuthibitishwa kazini,haruhusiwi kusimamia mitihani ya taifa,haruhusi kwenda kusaisha mtihani wa taifa na pia haruhusiwi kushika nyadhifa kubwa mashuleni kama kuwa mkuu wa shule
We Rama inaonekana unachuki binafsi tu na hao walimu, kama unafuatilia trend ya performance tangu 2009 hadi sasa utaona ya kwamba kipindi walimu wa leseni wapo mashuleni ufaulu ulikuwa mkubwa ila sasa diploma na graduate kibao ufaulu unashuka.Jipange kivingine acha chuki binafsi
 
bora form four ataenda kusomea ualimu na kuwa mwalimu kuliko form six akawa mwalimu bila kusomea ualimu.tatizo la mtu sio kukaa kazini mda mrefu bali je kazi hiyo amesomea.ukaaji wa kazini sio tija ualimu sio non formal education kama uganga wa kienyeji na kama ndo hivyo wengi wangekuwa wakifundisha mashuleni.ualimu si kuvaa vizuri na kufundisha,ualimu una maadili yake na hauwezi kuyajua mpaka usomee.shida si kuwa na walimu ili mradi mwalimu bali je huyo mwalimu ana ethics za ualimu.siwezi kuwa daktari au mgawa dawa na wakati sijasomea hicho kitu.TAALUMA ZA WATU ZIHESHIMIWE.hawa clash waamriwe wakasome mara moja na kama si hivyi tutakuwa tujichimbia kaburi la elimu bila sisi kujua na kuishia kusifia ooh kenya wanamfumo mzuri wa elimu,kumbe hata sisi tanzania tunaweza tukaboresha na kuwa na mising mizuri

Chuki zako za kukosa vyeo usizilete hapa jamvini, walimu wa leseni wamezitoa mbali sana hizo shule za kata zaidi ya miaka 5 ya wewe kuwepo kwako kazini, acha majungu what is diploma or degree after all in Tz?Jiongeze, la sivyo utadharaulika jamvini kwa kudharua wenzako
 
Back
Top Bottom